Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Kwli kabsa
 
Natafuta display ya SONY EXPERIA C4 0657969671
 
Mafundi nauliza,Nataka kubadili screen yote na Cover la nyuma la iphone 4S je inawezekana kwa shiling ngap?
 
Jaman nna nokia yangu X2-02 haina mwanga kwenye kioo na button. Kama kuna solution tuwasiliane
 
Mama Maulizo display ya Sony Experia m5 aqua na display ya Samsung Galax j1 bei gani
 
charger over limit... hil neno linanisumbua mno kwenye sim ya itel 5010 apo cjui kunambinu yeyote ya jamper
 
Nahitaji kubadili sim card reader kwenye Sony Xperia Z2 Je Kuna fundi humu anayeweza?
Weka bei yako na Sehemu ya kukupata mimi nipo Dar
 


na hizi ni baadhi kazi ngumu ambazo nimewahi kuzifanya.
mkuu Nina kasimu Ka tech w3 inaonekana ina chajisha lakini chaji haiongezeki.
Inaweza kuwa na 6& ukachaj Massa manne ikabaki vile vile.
Nimejaribu kuweka betri nyingine hali Ni hiyo hiyo.
Hapo shida inaweza kuwa non kabla Fundi hajaitia mkononi?
Nina guess labda ni charge system (ile port ya kuchajia tukibadili itakaaa sawa .

nipo sahh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…