Badili chajacharger over limit... hil neno linanisumbua mno kwenye sim ya itel 5010 apo cjui kunambinu yeyote ya jamper
Upo sahihi kweli hiyo kwanza inatatakiwa kubadilisha charging system.mkuu Nina kasimu Ka tech w3 inaonekana ina chajisha lakini chaji haiongezeki.
Inaweza kuwa na 6& ukachaj Massa manne ikabaki vile vile.
Nimejaribu kuweka betri nyingine hali Ni hiyo hiyo.
Hapo shida inaweza kuwa non kabla Fundi hajaitia mkononi?
Nina guess labda ni charge system (ile port ya kuchajia tukibadili itakaaa sawa .
nipo sahh?
Shukran jion nitaleta mrejeshoUpo sahihi kweli hiyo kwanza inatatakiwa kubadilisha charging system.
hata nikibadili inagoma inaandoka errorBadili chaja
Sidhani kama sony wana service centreHiyo inabadilishika kama upo hapo dar naona itakuwa ni rahisi zaizi zaidi kwa sababu utaenda tu hata kwenye duka la sony.
Nimenunua cable nyingine inapiga kaz vizuri.
Kumbe hata ungejaribu chaja nyingine usingehangaika hvyoNimenunua cable nyingine inapiga kaz vizuri.
Wala Fundi hajaigusa
Mkuu na W3 zimekuw na tabia ya kuzima tu.Kuna solution kweli?Upo sahihi kweli hiyo kwanza inatatakiwa kubadilisha charging system.
Nilijaribu nyingi ziligoma nilipoweka mpya ikakubaliKumbe hata ungejaribu chaja nyingine usingehangaika hvyo
Kuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.Mkuu na W3 zimekuw na tabia ya kuzima tu.Kuna solution kweli?
mm nilikupa solution ya kubadilisha charging system nikajua umeisha jaribisha kufuata hatua zote. za kubadilisha chaji pamoja na usb.Nimenunua cable nyingine inapiga kaz vizuri.
Wala Fundi hajaigusa
Hapo jibu ni kwamba simu zao wanazitengeneza zitumike kwa mda mfupi tu ili upate kununua nyingine baada ya miezi/mwakaKuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display
1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.
2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.