[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu vipiii ebu njo pm tumalizane kwanza umeniweka ujue
1.Mkuu nitangulize samahani kwa kuingiza mada iliyo inje ya topic mnayoizungumzia. Natumaini u mzima wa Afya but niele kwenye kusudi maalum mimi nina simu lumia 630 tatizo lake ni Flight mod imegoma kutoka na nimesha zunguka kwa mafundi wengi sana but hakuna msaada wowote niloupa zaidi ya kuniambia ninatakiwa nibadilisha file ya simu hiyo wengine wanasema aina ya simu hii haipo mtandaoni. Simu imebaki kama pambo sasa.Ila mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani
Cha kwanza BatteryHabari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya Samsung na kujizima. Na haiwaki tena mpaka niiweke sehem yenye joto ipate joto ndio iwake. Kwa waatalam wa simu shida inaweza kuwa ni nini hapa.
Kwahiyo mkuu battery yaweza kuwa tatizo?Cha kwanza Battery
Check hyo kwanzaKwahiyo mkuu battery yaweza kuwa tatizo?
Kuna vifaa vya kupimia battery? au ni kuweka nyingine tu?Check hyo kwanza
Kwenye pc yako inasoma?Wakuu nina flash yangu 64GB kila nikiwekamovie au video yeyote nikiweka kwa computer nyingine haisomi
Ndio boss kwa pc yangu inasoma naweza kuweka kitu vingine vinasoma vingine havisoma na hata vinavyosoma na kuplay vinakuwa vinaplay nusu vinagomaKwenye pc yako inasoma?
Flash nyingi ZA kununua kwa machinga huwa ni fake bila kujali ukubwa. Ila kama unauhakika ni nzima format.Ndio boss kwa pc yangu inasoma naweza kuweka kitu vingine vinasoma vingine havisoma na hata vinavyosoma na kuplay vinakuwa vinaplay nusu vinagoma
Bas majanga.Flash nyingi ZA kununua kwa machinga huwa ni fake bila kujali ukubwa. Ila kama unauhakika ni nzima format.
Safi kabsaHabari zenu wakuu
Ni model gani?Nina Nokia Asha niliilalia kioo hakionyeshi ni cheupe tu. Pia ina tatizo la kuchelewa kuwaka ukiiwasha. Je inatengenezeka hii?!