Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hivi kwanini mafundi hardware work desk zenu zinakuwa zimebondekabondeka,zimeungua na gani,chafuchafu na disorganised.hebu badilikeni bwana tengenezeni work stations za kisasa,afu mnazingua sana wateja

Kutoka kwa fundi software[emoji3]
fundi software tu unlock simu yangu basi itumie line zote
 
Hivi kwanini mafundi hardware work desk zenu zinakuwa zimebondekabondeka,zimeungua na gani,chafuchafu na disorganised.hebu badilikeni bwana tengenezeni work stations za kisasa,afu mnazingua sana wateja

Kutoka kwa fundi software[emoji3]
maji ata ukiyachemsha lazma yatarud kua barid[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
No yaani kunasiku nilikuwa naongea kwamuda mrefu sana sasa jasho likaingia ndani nadhani,inakataa baadhi ya batan zinagoma screen inakuwa kama inacheza cheza tu ,tach wanasema imekufa sasijui nikweli au la
 
Nmependa sana mkuu dah Mwana unakomaaa has a hako ka tekno mike limekua tatizo sugu kwangu aisee na inataka akili kubwa Atari laman take nmeicheki nmeona mapicha picha tu Ila nraendelea kuifuatilia
 
No yaani kunasiku nilikuwa naongea kwamuda mrefu sana sasa jasho likaingia ndani nadhani,inakataa baadhi ya batan zinagoma screen inakuwa kama inacheza cheza tu ,tach wanasema imekufa sasijui nikweli au la
Ashakum simatusi mkuu tecno sio simu,hazidumu kabisa ni kama fiat la mkoloni wiki barabarani wiki gerej.
 
Mwenye uzoefu wa hardware za iPhone maana hata dealers naona ni wazuri kwenye software ila hardware bado sana
 
present tatzo vzur usaidiwe
Hiyo taa niliyoweka jumper haikuwepo nimechukua taa ya nokia 1280 nimejumper namna hiyo.




Sehemu niliyoweka TWIZER nataka niweke jumper

nimebadili kioo kipya kinasoma ila tatizo hakioneshi mwanga.



NI HAYO WAKUU.


hazole1
 
Hivi kwanini mafundi hardware work desk zenu zinakuwa zimebondekabondeka,zimeungua na gani,chafuchafu na disorganised.hebu badilikeni bwana tengenezeni work stations za kisasa,afu mnazingua sana wateja

Kutoka kwa fundi software[emoji3]
Tutalifanyia kazi[emoji2] [emoji2]
 
Hivi kwanini mafundi hardware work desk zenu zinakuwa zimebondekabondeka,zimeungua na gani,chafuchafu na disorganised.hebu badilikeni bwana tengenezeni work stations za kisasa,afu mnazingua sana wateja

Kutoka kwa fundi software[emoji3]
kazi ya hardware sio ya kishalobalo na ndio maana ikaitwa hardware.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…