Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

Nimekupata vizuri kabisa,Ni ivi izo separate mita za kusoma matumizi ya mteja inatakiwa mita kuu ya Tanesco iwe na Umeme,izo separate mita hua zinafungwa sana kwenye majengo makubwa ama hata yale ya kawaida isipokuwa mita kubwa isiwe ya kutumia Luku,Kwetu Tanzania wenye majengo makubwa wao wanatumia zile mita za bili yaani mita zao zinasomwa mwezi hadi mwezi,sasa izo separate mita zilivyo ni zilezile tu kama zile za Tanesco kwani hao agent ndio wanaowauzia tanesco mita,sasa wewe ukishakuwa na mita kubwa unaongea nao kisha wanakufungia halafu kuna ki-softwear wanakupata kinakuwa kinaunganishwa na mita unit zinazosoma mita kubwa,utaamua wewe wakuunge utumie kwenye desktop,laptop ama simu kwaiyo mteja akitaka umeme kwenye mita yake unaingiza mita yake kisha kinakupatia tokeni ndio unayoingiza na mteja hapo atapata umeme na pia ukiisha umeme kwake utakata ila kwa wapangaji wengine wataendelea kupata,ni nzuri sana izo mita ama kama utataka pia kutumia kwa mita ndogo za luku ya tanesco itabidi mwenye nyumba awe anaingiza umeme mwingi kisha anawauzia wapangaji wake umeme,na pia gharama za kununua umeme ni zile zile wanazouza tanesco,
Kuna sehemu nilipo zimefungwa izo mita kama utataka uje uzione karibu
 
gharama ya buku inakatwa mara moja tu kweye mita kuu
 
Je, cha zamani kinaweza kujipimia?
 
well done
 
Suluhu ya kudumu kwa hizi nyumba za kupanga ni TANESCO kubadilika na kufunga kila chumba meter yake inayojitegemea kama wanavyofanya wenzao wa kenya


Kenya hawaujui ujamaa hao, ni mabepari, 🤣🤣
 


Mambo ya Kenya bwana!!!, nasikia hata wapangaji au majirani kuazimana kalamu, kuombana chumvi, Majani ya chai nk ni mwiko.🤣🤣
 

Appreciate
 
daaaah kwahyo makelele yapo palepale


i walisema kama umenunua unt 28 wakat unahamisha lazima zibaki na we utoke na unt 25 hivi sasa shida hizo ulizoacha watajichanga kuongezea mainmeter iendelee kuhema au watasubr mpk zikate daah!
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119] " daaah kwahyo makelele yapo palepale"

Nimecheka sana mkuu...

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Daah

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…