Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

Nikupe ngapi uongezeee
 
Mimi ninachojua na hata Manufacturer ame recommended Engine ya 1ZZ haiwezi fanyiwa Overhaul kutokana na muundo wake ulivyo maana kuna part itahitaji ubadili unit nzima ambayo ni heri ukanunue injini nzima uweke, na ndio maan gari kama Allion na nyingine zenye injini ya 1zz sitaki kabisa kumiliki
 
Aisee!! Ila hiyo bei niliyopewa ilikuwa ni Julai mwaka jana (2022). Hiyo overhaul nilifanya Agosti mwanzoni. Simu ilipigwa kwa muuzaji, alivyotamka bei nikahisi kama ninaibiwa hivi. [emoji38][emoji38]
1nz yenyewe mswaki wanaanzia 1.6M kwa sasa, wakati nyuma kidogo tu hapo mswaki wa 1nz ulikuwa laki 9 hadi 8, ila ndani ya muda mfupi tu bei imepanda hadi 1.6M. Na 1zz pia imepanda hvyo hvyo, maana 1zz kipindi cha nyuma ilikuwa 1.6M mswaki na complete ilikuwa 2.2M hadi 2.6M.

Ukitaka kuthibisha hilo ulizia bei ilala utaleta mrejesho hapa.
 
Ungetoa na mifano mkuu ungeeleweka vzr zaidi, watu wanafanya 1sz itakuwaje ishindikane 1zz?
 
Ungetoa na mifano mkuu ungeeleweka vzr zaidi, watu wanafanya 1sz itakuwaje ishindikane 1zz?
Sio mtaalamu sana wa kuelezea Mkuu ila unapofanya Overhaul ya hii injini haihitaji ubabaishaji kwakuwa itahitaji ubadilishe vitu vingi vipya ikiwemo timing chain na tensioner yake, o-ring, gasket, muundo wa pistons na rings zake ambazo zipo complicated in sizes nk ambavyo Cost yake inaweza kuikalibia gharama ya kununua injini tu nyingine na bado isifanye kazi kwa ufanisi, ubwiaji wa mafuta kwa wingi, leaks za oil mara kwa mara na performance kupungua na mwishowe utagombana na fundi mno kwa maana haitotulia kama awali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…