mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
172
Reaction score
194
Ndugu zangu poleni na majukumu.
kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha .
kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT.
Nipo tayari kujifunza zaidi
naombeni kazi ndugu zangu
 
mkuu angalia ni wapi naweza fiti naimani unaweza ukanisaidia nakuomba mkuu
Pole sana kwa changamoto, kazi zimekua ishu sana inabidi tu ujaribu na plan b, kama upo mjini daslam angalia namna ya kuuza hata ndizi mishikaki mtaji sidhani kama unazidi elf 50 pole sana.
 
Back
Top Bottom