clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 172
- 194
shukrani mkuuSamico Tanzania mpe kazi kana huyu ikikupendeza
nipekazi mkuuNina jengo langu linatakiwa lipigwe lipu.
mkuu angalia ni wapi naweza fiti naimani unaweza ukanisaidia nakuomba mkuu
Pole sana kwa changamoto, kazi zimekua ishu sana inabidi tu ujaribu na plan b, kama upo mjini daslam angalia namna ya kuuza hata ndizi mishikaki mtaji sidhani kama unazidi elf 50 pole sana.mkuu angalia ni wapi naweza fiti naimani unaweza ukanisaidia nakuomba mkuu