Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

Huo ni mwandiko ni wa mdada ( Nahisi namjua ) . Na kama jina lake ninaanizwa na D na aliefunga ndoa nae liaanziwa na  D. Alfau jana wamefunga ndoa. Basi ni hao hoa (wapo arusha)

Nimeona jina langu kwenye moja ya majibu hapo
Kabla ya kutaja majina yao taja kwanza ni jimbo gani hilo wanafuata miezi 9? Maana lipo moja tu
 
Wakuu
Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni lazima uhudhurie kwa miezi 9. Watu wamelalama kuhusu hili lakini askofu wala hana habari sana paroko atakwambia kama hujarizika na utaratibu hama Makanisa mengine.

Since utii ndio nguzo ya ukatolikii watu inabidi tuwe wapole tutii...yaani unahudhuria mafundisho mpaka unaweza kuachana bure na mchumba wako mkiwa bado mpo kwenye mafundisho.

Lakini vijana wa hovyo hovyo wamebuni mbinu ya kukwepa miezi hiyo ya mufundisho. Ambayo sitaisema Ili kama paroko au askofu husika akisoma mada hii asigundue siri za kambo😅
___
Unaweza kujiuliza miezi tisa yote hiyo wanafundishwa vitu gani???
Wanafundisha vitu viiiingi sana, hadi wanasaikolojia kama Carl Jung na Maria Montessori wanawasoma. Baadhi ni topic zifundishwazo
  • Saikolojia, hasa maswala ya Personalities
  • Reproduction
  • Genetics
  • Malezi ya mtoto from prenatal to postnatal Stage
  • Uzazi wa mpango
  • Sheria za ndoa KiKatiba
  • Sheria za ndoa Kikanisa
  • Jinsi ya kumuandaa na kumlizisha mwenza wako kitandani 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
  • Nk.......
Halafu kuna mtihani na nilazima ufaulu... Nongekua na soft copy ningewawekea mjisomee.
Chini hapo nitaweka baadhi ya maswali yanayoulizwa kwenye paper.

Wakuu swala hili ni swa kweli jamani kufuata mafundisho kwa muda wote huo?????View attachment 2737753
View attachment 2737755
Kwa ndoa zenu ambazo hamuachani ni sawa kabisa

Pia Kama mtu anataka ndoa haraka solution ni simple tu, Kama una plan kuoa mwakani process hizo unaanza mwaka huu

Sidhani Kama Kuna mtu anaweza kutaka kufunga ndoa ghafla ghafla hali ya kuwa ndoa yenyewe huwezi kuvunja kiurahisi
 
Mimi naamini, Mafundisho sahihi, ya kina na yanayoweza kushikwa na wahusika yapo kwenye familia zao huko wahusika waliko lelewa na kukulia toka kwa wazazi na walezi wao malezi ya toka udogo mpaka utu uzima wa kuoa/kuolewa

Haya ya kanisa ni kama nyongeza tuu.
Wazazi hawa hawa wanaogombana mbele za watoto?? Kuna vitu mzazi hataweza kukuambia. Kama hiyo kumuandaa mwanamke
 
Kuwa na mafundisho ya kutosha ya Ndoa ni jambo jema sana, maana siku hizi wanadam wanafunga Ndoa kwanza ndio wanaanza kuchumbiana. Ndio maana asilimia kubwa Ndoa hazitoboi..
 
Mimi naamini, Mafundisho sahihi, ya kina na yanayoweza kushikwa na wahusika yapo kwenye familia zao huko wahusika waliko lelewa na kukulia toka kwa wazazi na walezi wao malezi ya toka udogo mpaka utu uzima wa kuoa/kuolewa

Haya ya kanisa ni kama nyongeza tuu.
Si ni kama nyongeza bali hayana tija ni kuchelewesheana maisha tuu
 
Ndoa ni agano la Mungu...

Sasa ukute mume na mke na maagano yao ya mizimu na uchawi alafu wakutane na agano ambalo ni la Mungu..

Vita inaanza kuinuka...

Haya kuna kuoa mke au kuolewa na mume ambaye sio wako...

Wafundishe watu wawe na macho ya Rohoni ili wapate watu sahihi...

Pia na wao wawe na macho ya Rohoni na wasibakie kufundisha vya mwili tu...

Ifike mahali waone kiroho watu wakija kutaka kuoana wanajua hawafai wakataze..

Kuna visivoonekana kwa macho ya nyama mpaka macho ya Rohoni..
 
Mizimu ndio nini ?
Macho ya rohoni ndio yakoje hayo ? Na yanapatikana vipi ?
 
Jimbo letu, mafundisho ya ndoa miezi 3, mafundisho ya moyo miez 3, jumla 6, baada ya hapo ruksa kutangaza ndoa.
 
Back
Top Bottom