Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

Huo ni mwandiko ni wa mdada ( Nahisi namjua ) . Na kama jina lake ninaanizwa na D na aliefunga ndoa nae liaanziwa na β€ŠD. Alfau jana wamefunga ndoa. Basi ni hao hoa (wapo arusha)

Nimeona jina langu kwenye moja ya majibu hapo
Kabla ya kutaja majina yao taja kwanza ni jimbo gani hilo wanafuata miezi 9? Maana lipo moja tu
 
Kwa ndoa zenu ambazo hamuachani ni sawa kabisa


Pia Kama mtu anataka ndoa haraka solution ni simple tu, Kama una plan kuoa mwakani process hizo unaanza mwaka huu


Sidhani Kama Kuna mtu anaweza kutaka kufunga ndoa ghafla ghafla hali ya kuwa ndoa yenyewe huwezi kuvunja kiurahisi
 
Wazazi hawa hawa wanaogombana mbele za watoto?? Kuna vitu mzazi hataweza kukuambia. Kama hiyo kumuandaa mwanamke
 
Kuwa na mafundisho ya kutosha ya Ndoa ni jambo jema sana, maana siku hizi wanadam wanafunga Ndoa kwanza ndio wanaanza kuchumbiana. Ndio maana asilimia kubwa Ndoa hazitoboi..
 
Si ni kama nyongeza bali hayana tija ni kuchelewesheana maisha tuu
 
Ndoa ni agano la Mungu...

Sasa ukute mume na mke na maagano yao ya mizimu na uchawi alafu wakutane na agano ambalo ni la Mungu..

Vita inaanza kuinuka...


Haya kuna kuoa mke au kuolewa na mume ambaye sio wako...

Wafundishe watu wawe na macho ya Rohoni ili wapate watu sahihi...

Pia na wao wawe na macho ya Rohoni na wasibakie kufundisha vya mwili tu...

Ifike mahali waone kiroho watu wakija kutaka kuoana wanajua hawafai wakataze..

Kuna visivoonekana kwa macho ya nyama mpaka macho ya Rohoni..
 
Mizimu ndio nini ?
Macho ya rohoni ndio yakoje hayo ? Na yanapatikana vipi ?
 
Jimbo letu, mafundisho ya ndoa miezi 3, mafundisho ya moyo miez 3, jumla 6, baada ya hapo ruksa kutangaza ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…