Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

Mizimu ndio nini ?
Macho ya rohoni ndio yakoje hayo ? Na yanapatikana vipi ?
Mizimu ni wafu yaani watu waliokufa...

Macho ya Rohoni ni uwezo wa kuona mambo ktk Ulimwengu wa Roho...

Yanapatikana kwa kuamini au kumpokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wako...

Hapo Sasa unaweza omba macho ya Rohoni kwa kuomba Roho Mtakatifu..

Ila unatakiwa uwe umejitakasa sana kwa damu yaani kuomba Toba ya kweli...
 
Kaoe mskitini huko hata mafundisho hamna
 
Hu

HUo ni uzee na uzamani. Wanadhani waumini wote wanakaa nyumbani na hawana pa kwenda wala cha kufanya?
Nachojua mafundisho yanafanyika siku za weekend tu.

Na ukweli kizazi cha sasa ndoa zimekuwa changamoto bora utaratibu huu uwepo ili wakukata tamaa mapema aache maana kama umeshindwa kuhudhuria semina miezi tisa tena ya mafunzo ya kukusaidia usingeweza kuishi na mwanamke au mwanaume.
 
Hii imekaa poa sana..naunga mkono huu utaratibu,tatizo watu wanajua ndoa ni harusi ....
 
Jimbo letu, mafundisho ya ndoa miezi 3, mafundisho ya moyo miez 3, jumla 6, baada ya hapo ruksa kutangaza ndoa.
Daah Nusu muhula yaani sema uzuri mafundisho sio kila siku. Naona itafanywa TZ nzima iwe hivyo
 
Kimsingi ni miaka 7
Balaaa
Ndoa
Yaani unapewa cheti then unaingia ndoani......mmmhh
Confusion Department 🙄🙄🙄
 
Katoliki ndoa mnafundishwa ndoa na mapdri wasioo

Wabajua nini? Kuhusu ndoa ? Utafundishwa mafundisho ya ndoa na asiyejua ndoa?
Tatizo makanisa yenu ya kiroho ya wachungaji na washirika wa hovyo uweza kwenda na mwenza wako kanisani ili kusajili ndoa palepale either mchugaji akamtaka akamkuhadia mwanaume mwingine anayetafuta mchumba pale pale madhabahuni kwa kisingizio roho mtakatifu kamshukia kwenye ndoto nyevu
 
Miezi Tisa mtu unasoma kozi unapata cheti na unaajiriwa serikalini.
Miezi tisa wanafundisha mapishi ya aina zote za vyakula?
Miezi tisa wanafundisha aina ngapi za viuno ?
Miezi tisa unasomea uchungaji na kupewa kanisa ulichunge .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…