Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

Mkuu,natamani ungetaja Jimbo nihamasisha watu waende kufunga Ndoa Huko.Somo mnalopewa hapo nisomo kubwa sana.Lakini Pia mapokuwa Darasani na mwenza wako mnafahamiana zaidi kitabia haiba etc.Cha muhimu ni kufahamu kwamba miezi 9 sio mingi hasa ukizingatia huyo mtu utaishi naye maisha yako yote....Hongera sana Baba Askofu na Maparoko.

Hao Maparoko wanaowaa nafasi ya kutoroka huo utaratibu Baba Askofu anawanonya
 
NI SAHIHI TENA IWE MWAKA KABISA, KAMA TOPIC ZENYEWE NI HIZI👇👇.
Unalalamika unawahi wapi wakati mtaenda kuishi Daima na Milele😅
  • Saikolojia, hasa maswala ya Personalities
  • Reproduction
  • Genetics
  • Malezi ya mtoto from prenatal to postnatal Stage
  • Uzazi wa mpango
  • Sheria za ndoa KiKatiba
  • Sheria za ndoa Kikanisa
  • Jinsi ya kumuandaa na kumlizisha mwenza wako kitandani
 
Unamchaguaje mtu ambaye tayari ana mwenyewe? Huo ni uvurugaji, mungu hapendi😀
Tell this to King David, alimpenda wa wenyewe akamaua mume. Mungu akambariki kabisa mtoto alliyetokana na huyo mwanamke akaja kua mtu tajiri na mwenye hekima kibao. King Solomon.
So kwa case yako...hakuna ubaya🏃🏃
 
Tell this to King David, alimpenda wa wenyewe akamaua mume. Mungu akambariki kabisa mtoto alliyetokana na huyo mwanamke akaja kua mtu tajiri na mwenye hekima kibao. King Solomon.
So kwa case yako...hakuna ubaya🏃🏃
Kikubwa ushampata mwingine, ni jambo jema sana
 
Swala ni muda siyo seminar. Miezi 9 ndo itanusuru ndoa zisivunjike? Nikisema kanisani kwangu naweka miaka 5 niko sawa? Kuna haja ya kuwa na muda maalumu kwa majimbo yote. Kanisa katoliki linaongozwa na clear ideology na liko systematic japo kuna watu wanaleta unaa wao tu
 
Miezi 9 unahitimu Masters degree vyuo vya UK
 
Mwaka 2001 baba yangu mdogo alikua na mgogoro wa ndoa na mkewe. Chanzo ni mkewe kutaka kuhama toka katoliki kwenda SDA..... Yule dingi akawa anampiga mkewe. Siku moja timu ya usuluhishi ikatoka Kanisani SDA kwenda kwa mzee kusuluhisha. Yule dingi aliwapokea vizuri.. karibu na mwisho wa maongezi dingi akamuuliza jamaa aliyeonekana kama mkuu wa msafara kama ameoa.. akajibu hajaoa ila anasomea uchungaji yupo Chuo kikuu.. dingi alipatwa na hasira kali mno kuwa alipoteza muda kushauriwa na kijana ambaye hajaoa .. akafunga mlango na kulianzisha humo ndani. Wasabato walipopata upenyo wakakimbia na hawakuwahi kurudi.
 
Kama wewe ni paroko au unasikio la paroko sema nikuelekeze jimbo letu ukamshawishi paroko wenu akopi syllabus yetu
 
Hahahahah nimecheka sana...poleni sana vijana wa hovyo...
Ila naona ni vzr sana mnapata madini ya kutosha sio kama sie wiki 2 baaaasii
Vijana wa hovyo hatuishiwi mbinu ya kukimbia hiyo miezi 9. Ukweli kuna madini haswa maana kuna wakati hadi wanasaikolojia na Wanasheria wa kanisa wanaletwa kuwapigia pindi.

So twakwepaje???
Unaenda kwa paroko unamuelezea kwamba mm nafanyia kazi mkoa X. Unapewa barua ya kwenda kufanyia mafundisho hukohuko. So mikoa mingi mafundisho ni 2Weeks.
Ila njia hii ni applicable kwa sie ambao tunatembea tembea mikoa mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…