Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

hawa ni waholanzi. baridi imepiga mazao hayawezi kukua wakaamua kujenge greenhouses. cheki kwanza zinavyoeleweka.
 
huyu ni mbongo tozi aliyekurupuka bila kufanya feasibility.
 
Vipi ukitumia black sheet? aka maturubai
 
Vipi ukitumia black sheet? aka maturubai
hiyo niliona watu wanaolima sehemu kame sana wakitumia kupunguza evaporation/transpiration.
mfano hawa wamexico walilima bangi.
 
Siku ya jumatatu tutakuwa tunatoa semina kwa wakazi wa baganoyo. Then tunaenda mkuranga halafu kisarawe. Anayetaka ku join anipigie tu
 
Naombeni kusaidiwa namba za hawa wataalamu wa hizi GH, nataka kujenga na Mimi moja nilime nyanya
 
Wasiliana na Sanctus Mtsimbe(Spicerman) wa AMKA na BADILIKAA kipindi cha TBC
sim 0755285023
Huyu atakupa vichwa vyenye taaluma hiyo,kwa Tanzania na kwa Kenya.
Huyu Jamaa ni Tanzanite Member humu wa JF

Ndugu!! Huyu bwana nilimtumia sms nikamuomba hivyo! Lakini ni kwamba kwa utaratibu uliopo itabidi uhudhurie semina ya mafunzo ya Ujasiriamali ambapo ndio unafundishwa hayo..na semina hiyo ni ya malipo kwanza ambapo kwa SMS niliyojibiwa kiingilio ni laki moja na unatuma kwanza kwa mpesa..
 
hiyo niliona watu wanaolima sehemu kame sana wakitumia kupunguza evaporation/transpiration.
mfano hawa wamexico walilima bangi.

Habari! kumbe mtu anaweza kununua maturubai ya kawaida na mbao au miti akajenga mweyewe, kumbe sio lazima white sheets? alafu unanunua na drip line system unaanza kilimo, kama ni hivyo mbona wengi tutawezaaaa.
 

Kimbia matapeli ndugu yangu...
Unaweza kujaribu pale balton...
 
You don't need to be inspired to be an entrepreneur...
Do what makes you comfotable...
Afterall success comes after quitting comfort zone...
 
Nalianzisha.
Sanctus Mtsimbe (Spiderman),hembu tuambei Bei kwa Sasa ya ujenzi huu imefika kiasi gani.Full Package.
Maana June last year was 5m,je latest ni ngapi.
Also any new idea kama ipo
 
Hivi km unaishi mikoani km vile kule kwetu Njombe,mnaweza kufika huko na bei yake ikawa hiyohiyo?.
 

Bwaaaaaa...............ha ha ha hahaaa!!!

Nimepishana na taahira la mirembe mlangoni!
 
Duuhhh,Sasa hili nalo tatizo
Bora ingekuwa Charge ya Consultation tu,then pesa ya Semina iwe kwenye Malipo kamili wakati wa kufanya maamuzi.

Maana mtu unataka kwanza ushauri,maana semina lazima watakuvutia upande wao.
 
Duuhhh,Sasa hili nalo tatizo
Bora ingekuwa Charge ya Consultation tu,then pesa ya Semina iwe kwenye Malipo kamili wakati wa kufanya maamuzi.

Maana mtu unataka kwanza ushauri,maana semina lazima watakuvutia upande wao.
hii habari ya ma greenhouse bongo ni utapeli. na wabongo wakurupukaji wanaingia mkenge. unajua moja ya dalili za kichaa ni kuinvest on unsound projects.
 
Fuatilia wazungu walianzia wapi na gh ya kwanza ilikuaje then uje upige kelele.

Wahtaj wa gh waoneni makampun kama balton,sevia,tapp na taha lazma watakua na connection na watu wa gh maana wao pia huwatumia kujenga ya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…