Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo niliona watu wanaolima sehemu kame sana wakitumia kupunguza evaporation/transpiration.Vipi ukitumia black sheet? aka maturubai
kila lakheri mkuu.Mi najenga ya kwangu mwezi July endelea kuponda tu wenzako tunasonga.
Wasiliana na Sanctus Mtsimbe(Spicerman) wa AMKA na BADILIKAA kipindi cha TBCNaombeni kusaidiwa namba za hawa wataalamu wa hizi GH, nataka kujenga na Mimi moja nilime nyanya
Wasiliana na Sanctus Mtsimbe(Spicerman) wa AMKA na BADILIKAA kipindi cha TBC
sim 0755285023
Huyu atakupa vichwa vyenye taaluma hiyo,kwa Tanzania na kwa Kenya.
Huyu Jamaa ni Tanzanite Member humu wa JF
hiyo niliona watu wanaolima sehemu kame sana wakitumia kupunguza evaporation/transpiration.
mfano hawa wamexico walilima bangi.
![]()
![]()
Ndugu!! Huyu bwana nilimtumia sms nikamuomba hivyo! Lakini ni kwamba kwa utaratibu uliopo itabidi uhudhurie semina ya mafunzo ya Ujasiriamali ambapo ndio unafundishwa hayo..na semina hiyo ni ya malipo kwanza ambapo kwa SMS niliyojibiwa kiingilio ni laki moja na unatuma kwanza kwa mpesa..
hivi hizi green houses zetu unaaweza control hali ya hewa? kwani ukame ukija hauingii kwenye magreen house? strong wind ikija hata green house/hema litabomoka. wadudu labda panzi ndiyo itawazuia lakini siyo magonjwa kama fungus. pia unazuia wadudu unakosa uchavushaji.
hiyo habari ya return kubwa ndiyo mnapolizwa. mita mraba 200 haziwezi kuzidi ekari kwa uzalishaji iwapo mbolea, maji, madawa na huduma vinawiana.. unjenga hema la 8m kwaajili ya kuzuia panzi na nyuki wachavushaji.
Duuhhh,Sasa hili nalo tatizoNdugu!! Huyu bwana nilimtumia sms nikamuomba hivyo! Lakini ni kwamba kwa utaratibu uliopo itabidi uhudhurie semina ya mafunzo ya Ujasiriamali ambapo ndio unafundishwa hayo..na semina hiyo ni ya malipo kwanza ambapo kwa SMS niliyojibiwa kiingilio ni laki moja na unatuma kwanza kwa mpesa..
hii habari ya ma greenhouse bongo ni utapeli. na wabongo wakurupukaji wanaingia mkenge. unajua moja ya dalili za kichaa ni kuinvest on unsound projects.Duuhhh,Sasa hili nalo tatizo
Bora ingekuwa Charge ya Consultation tu,then pesa ya Semina iwe kwenye Malipo kamili wakati wa kufanya maamuzi.
Maana mtu unataka kwanza ushauri,maana semina lazima watakuvutia upande wao.