Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mkuu niko interested tena 5 M sio nyingi kwa package hiyo. Tatizo hiyo hela sina. Nifanyeje? Ngoja nianzae kudunduliza. Hawakopeshi? At least mtu alipe nusu halafu nusu iliyobaki ulipe ukivuna? I am very much interested.
KWA NINI UWE MASKINI?

JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE?

View attachment 165705


Team ya “AMKA NA BADILIKA” ya CONSNET GROUP ikishirikiana na wataalamu wa GREEN HOUSE katika maeneo ya joto AFFORDABLE GREENHOUSE kutoka Kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa GREEN HOUSE ya ukubwa wa Mita 8 kwa Mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama Nyanya; Pilipili Hoho; Vitunguu; Bilinganya; Vitunguu; Matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa Mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.

Kujengewa GREEN HOUSE moja ya 8M X 15 M (Kutumia mirunda na mbao za dawa) ni TZS 5.0 Millions Tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.

Kwa sasa zipo “KITS” za kutosha za Green House. Kama utapenda kujengewa Green House na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023.
 
Mkuu, ukiongelea real experience ya Green House, siwezi nikasema tuna Wataalamu waliobobea kwa vitendo zaidi ya thory nyingi tu. Na ndiyo maana hata baadhi ya hao mabwana shamba leo hii wanakuja na kuomba kujengewa greenhouse!

We trust in practical experience and attitude which makes more than 90% of life success other than the theory and books which counts on less than 10% success. Furthermore materials in the books can change but what you experience is evidential.
Nakuelewa kaka but without basic knowledge and update info practical experience doesn't make any success and its our government policy to use their expertise to approve any new technology come into her people. I wish I could be in Tz I think I could use you to change our agric. Goodluck
 
Mkuu kama nimeshafanikiwa kutejitengenezea green house yangu je hamuuzi mbegu, madawa na virutubisho vya mimea aka mbolea kama vile super glo?

hoop-house-greenhouse.png

maana kwa watanzania tulio wengi 5m tunaishia kuiona benki wenzetu wakihesabiwa ili walipie biashara zao ama kutunza na si kuwekeza.
 
Sorry nikirudi kwenye kichwa cha mada ya mjadala huu "KWANINI UWE MASKINI!!!" hakitofautiani sana na mtu anaelazimisha kumuonesha mtu asiejua kusoma baadhi ya herufi huku akimsisitiza azitambue na kuzifahamu!! WIMBO WA KILIMO KWANZA UMEIMBWA MPAKA UMECHUJA! Kwa sababu ni wimbo tu ambao watu wanajua unaimbwa hakuna tija!! sasa mkuu kwa mtazamo wangu; vema mgelifanya DEMO mkawaelimisha watu wakatambua faida kwa kuona si kusikia pekee. Kwa mifano michache itakayoonekana mnaweza kufanya biashara kwani ndilo lengo husika ili nanyi muweze kupata tija. Walikuja waKenya miaka michache iliyopita wakitangaza na kutoa mbegu watu walime Artimesia na mitiki je hicho kilimo kinafanyika hii leo? Tija yake inaonekana? na kwanini wao Kenya wanafanikiwa katika baadhi ya kilimo? Je wakulima wetu hawa kina PAZI! ambao walizoea kulima na kuvuna viroba viwili kwa msimu mzima mnawaaminisha vipi kwa nadharia?

Je tumeshajiuliza hawa wakulima wetu kina Masanja na Mkude wanajua aina za wadudu na udhibiti wake? Hatuwezi kuanza kununua punda kabla hatujajifunza namna ya kumdhibiti na kummiliki! Ila kwa kuwa huwa tunaenda kwa kufuata upepo hakuna shida inawezekana lakini mwisho wa siku hizo greenhouse zitabaki mapambo kama ilivyokuwa kwa powertiller!!! ELIMU KWANZA!

Ni maoni tu mkuu!
 
Mkuu niko interested tena 5 M sio nyingi kwa package hiyo. Tatizo hiyo hela sina. Nifanyeje? Ngoja nianzae kudunduliza. Hawakopeshi? At least mtu alipe nusu halafu nusu iliyobaki ulipe ukivuna? I am very much interested.

Natamani hii njia lakini ghali mie tayari Nina kisima maji baridi kina uwezo wa kutoa Lita 4000. Na Nina tank Lita 2000 je naweza kupata nafuu. Nimeshaona mradi pale Bunju a bomba la mkanada kuna MTU anayelima.
 

Attachments

  • IMG_20140620_081430.jpg
    IMG_20140620_081430.jpg
    338.1 KB · Views: 474
  • IMG_20140620_081451.jpg
    IMG_20140620_081451.jpg
    280.2 KB · Views: 461
Kwenye kuezeka naona kama umekosea, juu hakuezekwi flat kama vile box, Bali kunakua na mgongo, hivyo gharama zitaongezeka.

Na Kwenye ukuta wa chini, je ni kweli wadudu hawapiti kwenye matundu ya chandarua? Vipi durability ya Net kwenye sehemu yenye upepo?

Kwenye ishu ya upepo hapo sijui labda muulize mtoa mada labda atakuelekeza
 
Hizi zote ni storry za mitandaoni. Hawa jamaa wanadanganya watu.Wanachukua picha na clips za kenya wanaweka humu. Msukubali kuibiwa nendeni Balton Tanzania ndio wajuzi wa hii mambo.
 
Sanctus Mtsimbe,

Mnamo miezi michache iliyopita katika kipindi chako kinachorusha TBC ulimuhoji member mwenzetu humu Abdulatif GreenHouse kuhusu kilimo hiki cha Greenhouse. Hiyo ilikua ni baada ya Abdulatif kuleta Uzi wake hapa kuhusu kilimo hicho na uzi ukapata supporters wengi tu.

Sasa tuambie;
1) baada ya kumuhoji then ukavutiwa na idea yake then ukaamua kui-implement?

2) Wewe ni middle man, unachukua 5mil kwa wateja then unaenda kumpa Abdulatif kwa lower cost?

3) Ideas zimegongana?

Pia umezungumza mengi mazuri ya greenhouse farming, je una elimu, ujuzi na uzoefu wowote wa hiki kilimo? Kama ndio basi kwa muda gani?
 
Last edited by a moderator:
Pili,

Twaweza kuziona wapi hizi Greenhouse zako? Shamba darasa liko wapi?
 
tutaajiliwa mpaka lini kwa hii mishahara ambayo haitoshi hata kulipia kodi ya nyumba?

Yaani acha tu ndugu yangu.......sijui tutatumwa na wahindi mpaka lini:embarrassed::embarrassed:
 
Bila shaka, kama kuna mtu yuko mwanza na angependa atleast tushee mawazo ani pm.
 
Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!
Ila inabidi pia ukumbuke kuwa biashara nyingi za bongo magumashi mengi sana. Watu wakikueleza ukweli ni namna gani wametoboa unaweza kubaki mdomo wazi!!!
 
Sanctus Mtsimbe,

Mnamo miezi michache iliyopita katika kipindi chako kinachorusha TBC ulimuhoji member mwenzetu humu Abdulatif GreenHouse kuhusu kilimo hiki cha Greenhouse. Hiyo ilikua ni baada ya Abdulatif kuleta Uzi wake hapa kuhusu kilimo hicho na uzi ukapata supporters wengi tu.

Sasa tuambie;
1) baada ya kumuhoji then ukavutiwa na idea yake then ukaamua kui-implement?

2) Wewe ni middle man, unachukua 5mil kwa wateja then unaenda kumpa Abdulatif kwa lower cost?

3) Ideas zimegongana?

Pia umezungumza mengi mazuri ya greenhouse farming, je una elimu, ujuzi na uzoefu wowote wa hiki kilimo? Kama ndio basi kwa muda gani?

Mkuu, kuna mambo siwezi nikaandika humu kwa njia njema sana.

Mimi kama mhamasishaji wa kuleta mabadiliko chanya nina system njema ya feedback ili kuwasaidia watazamaji wangu wafanikiwe vema ni kuna mengine siwezi kuandika hapa but you can call me on 0782 820 820 for details if u want any.

Hata hivyo response kwa kifupi:

1. My TV program ina network na uwezo wa kuidentify any potential idea kwa kuangalia watu waliofanikiwa na kuwahoji ili wengine wajifunze. Tumeshafanya hivyo katika vipindi vingi na tutaendelea. Kwa habari ya Green House kuna watu 3 ambao wamehojiwa na wote wanafanya kitu hicho hicho.

2. Abdulatif sijawahi kuchukua hata senti yake all people pays direct to him na pia sijaonana naye for about 3 months now. So he gets full amount! For good and quality service delivery, nilifanya maamuzi ya ziada ya kuboresha to satisfy my viewers!

3. Refer to 1.

Additional questions also: refer to 1.
 
pamoja na kudai unasomea greenhouse hort. elimu yako haujatoa msaada wowote hapa.bora ungepita kimya kimya

Na ni bora wewe pia ungepita kimya kimya kabla ya kufanya utafiti ya hizo maneno mawili tu aliyotaja huyu muungwana:

Emissivity
transmissivity

Yamekuruka mazima, na wala nia hukuwa nalo ya kusearch maana zake.. Watu tuna matatizo nchi hii kweli kweli..
 
Back
Top Bottom