Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
wakuu asante sana kwa michango ya mawazo inayotoka hapa ili kufanikisha kuupata mkaa bora. natamani sana kupata hizo mashine umetaja hapo juu. je ninapata wapi
 
Kwa wale wanaotaka mashine za kusaga chenga za mkaa, chukua sample ya chenga hizo nenda nazo plale sido vingunguti kuna jamaa anatengeneza mashine za kusaga mahindi na za kusaga miwa kutengeneza miwa. Ukimwonyesha sampo na kumwambia akutengenezee ka mashine kadogo ka kusaga anaweza kukutengenezea.

Mwaka huu saba saba kulikuwa na wachina wanaonyesha mashine mbalimbali mojawapo ilikuwa portable ya kusagia mhindi kilo 50 kwa siku walikuwa wanaiuza sh 200,000. Nilichukua business card yako sikumuki nimeiweka wapi. Nikiioata ntaweka namba zao hapa
 
mkuu naomba maelezo ya jinsi ya kuitengeneza hii plz

Kiukweli linahitaji ka gharama kidogo. Ila sio sana. Yaani wanachofanya ni kutengeneza matofali ya udongo si lazoma yawe na simenti. Wakishajenga wanakuwa wanatumia aidha kuni au mkaa kuweka joto ndani. Au naweza jenga kama vile zile nyumba za matope zinavyjengwa vijijini then pia unaweza tengeneza ma shelfu ndani ili uweke mkaa mwingi. nadhani nyumba ya kuchapia udongo ndio cheap zaidi kuliko matofali.
 
wakuu leo nadeclare wazi kuw mkaa bora na unaodumu usio na chembe ya moshi nimetengeneza, thanx again guys wote. mkuu lotti pamoja sana
 
Hahahaaa. Kweli kabisa kaka

Mbepo myamba bora huyo jamaa umemchana live naona zimemwingia naamini hatorudia tena..umesema kweli tupu kama anatakq aprove reality aje kwako,kwa bwn Ally,kwangu au kwa yeyote anaemwona hapo kweny wall.ila watu kama hao wabaya sana wanadiscourage sana wenzo nahisi alikua anadandia tren kwa mbele..utagonjwa shauri zako wenzio tulishaanza nalo na sasa tunakaribia destination wee baki shangaashangaa tu..
 
wakuu panapo majaliwa kesho ntaweka humu. ni nzuri kwa kweli tena ni sootless kabisa na flame yake imedumu kwa zaidi ya 3hrs. mwana ally nisamehe napata taabu kufanya lolote kwa haraka maana simu yangu ni mchina ananisumbua sana.
 
mtaji 5,000/=
Kipato kwa siku 30,000/=
Kipato kwa mwezi 30,000 x 30 = 900,000/=
Gharama za malighafi.......?????
Upatikanaji wa malighafi......?????

Mkaa wa kisasa au mkaa mbadala?

Asante kwa teknolojia mupya mukuu!

mtaji 5,000/=
Kipato kwa siku 30,000/=
Kipato kwa mwezi 30,000 x 30 = 900,000/=
Gharama za malighafi + labour cost per 1 bag = 3,500
 
Wale ambao mmeamua kujiunga na kubadilishana experience, kama mtu anaamua kujiunga nanyi hebu tueleze huwa mkikutana inakuwaje?
 
Wale ambao mmeamua kujiunga na kubadilishana experience, kama mtu anaamua kujiunga nanyi hebu tueleze huwa mkikutana inakuwaje?
kwa mfano hapa dsm tulioweza kutambuana na kukutanatupo wawili mimi na mbepo myamba yy yupo knyama mm npo tbt so whenever tunapotembeleana tunashare uzoefu, namna ya kupata mkaa bora,masoko,kupeana moyo na mengneyo.Mthalan saivi mimi nina soko wanataka sample ila kwa vile production yangu bado haikua nzuri na yy tayari mkaa wake ni mzuri tumekubaliana tuchukue sample yake tupeleleke ili tusikose hilo soko.so tunashirikiana kwa nna hizo
 

kwa hiyo mtu yeyote mwenye mradi ambaye yuko dar anaweza kujiunga nanyi?
 
Tukiungana itakua vizuri zaidi mkuu

wakuu lotti na mwakifwamba, mie niko tayari. halafu taarifa njema ni kwamba kuanzia jumanne hadi alhamisi hii nimepata bahati ya kushiriki maonyesho ya vicoba pale karimjee hall. nitapeleka mkaa wangu. maombi yenu wadau
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…