Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara nibkubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Ciment na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.

Allen Kilewella uko wapi? Hali sio nzuri. Kwenye ule uzi maaalum wa kimbunga cha hidaya inaonyesha kimbunga kinakuja huku. Haya ndionmatokeo ya hiki kimbunga.