Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

Morogoro ni kama basin eenh, naona kila mvua zikinyesha ni mafuriko tu. Poleni sana!
Kwa haya mafuriko ya eneo hili la "Kwa shungu" chanzo ni miundombinu finyu. Eneo zima lina kalavati moja tu, angalau yawepo manne ndiyo yatatosheleza kutoa maji yanayotokana na mto Lumemo kufurika..

Sema huko yanakoelekea yaani maeneo ya Mhola, Katindiuka na mbassa ya kati, na leo hawatalala majumbani mwao.
 
Back
Top Bottom