Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa haya mafuriko ya eneo hili la "Kwa shungu" chanzo ni miundombinu finyu. Eneo zima lina kalavati moja tu, angalau yawepo manne ndiyo yatatosheleza kutoa maji yanayotokana na mto Lumemo kufurika..Morogoro ni kama basin eenh, naona kila mvua zikinyesha ni mafuriko tu. Poleni sana!
Sema huko yanakoelekea yaani maeneo ya Mhola, Katindiuka na mbassa ya kati, na leo hawatalala majumbani mwao.