Mji wa Ifakara unapaswa kuhamishwa hapo na kupelekwa maendeleo ya milimani juu ya uwanja wa ndege.Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
Poleni sanaOmbea kusikia mafuriko kwa mwenzio... Leo ni balaa na Bado mvua inanyesha.
Aisee ni hatari mnoo mnoo huo ujazo wa maji sio wa kitotoHaya mafuriko yalitokea septembre 2023
View attachment 2981356
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
Tabia dunia ndio niniSababu kubwa ni mabadiliko ya tabia Dunia....binadamu washafanya yao....
Mangi asee mtu wangu wa nguvu mbona unaniangusha? Utaliaje kwa ajili ya mafuriko tu? 😡😡😡😡😡😡Sad... 😢
Tulikuwa mei mosi hapo weka picha na maandamano tumefanyaHali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada.
Mtuombee.
Kuna watu hawajui maana ya mafuriko ni nini. Wanafikiri ni mvua tu ya kuondolewa na simple drainage system.Hapana.
Mto Lumemo una Kona kali sana na mara nyingi mto Kilombero ukikataa kupokea maji ya mto Lumemo, ndipo mafuriko hutokea.
Ingawa maji ya mwaka huu ni mengi sana kwa zaidi ya miaka 50 hayajapata kuonekana kwa simulizi wa wakongwe wa eneo hili.
Tatizo ndiyo Hilo.Kuna watu hawajui maana ya mafuriko ni nini. Wanafikiri ni mvua tu ya kuondolewa na simple drainage system.
Mvua ya mm za miezi sita inashuka siku moja.Tatizo ndiyo Hilo.
Mafuriko maana yake ni mifumo ya kutoa na kusafirisha maji inazidiwa na wingi wa maji uliopo kwa wakati husika.
Hii kaliYes, ni uzembe utokanao na short-sighted mind. Japan Sasa hivi kwenye mji wa Fukushima-Daichi na Fukushima-Daini wameanzisha mradi mkubwa wa kujenga ukuta/ukingo imara na madhubuti kabisa ili kuzuia maji ya bahari yasifurike kwenye miji hiyo endapo kama itatokea tena Tsunami ya hatari Kama ile iliyotokea mwaka 2011 ambayo iliua watu zaidi ya elfu arobaini sambamba na kuharibu kabisa zaidi ya 70% ya miji hiyo.
Kumbe unaujua mto Mkondoa mkuu, ukimwaga maji yake basi watu wa kata za Magomeni na Tindiga wanakua kisiwani kwa muda.Ni uzembe tu, ukiacha huo mto wilaya ya Kilosa kuna mto Mkondowe, yakitokea maafa wala siwezi kushangaa kwa sababu sisi hatujawa binadamu kamili bado tuna unyani.
Asante.Poleni watu wa Ifakara...
Morogoro ni kama basin eenh, naona kila mvua zikinyesha ni mafuriko tu. Poleni sana!Asante.
Maji yanapungua lakini mvua bado imetanda!!!