digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Ukiitaja hiyo mikoa itakuwa vyema sanaYaan kwa haya majanga ya kimbunga na mvua nyingi ulimwenguni na hata hapa Tanzania kuna baadhi ya mikoa imekuwa salama kabisaa bila hata kudhurika na majanga yaliyamo kuanzia wilaya...kata...mitaa na vitongoji vyake...ni kwamba imebarikiwa....? Poleni sana