hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Aug 5, 2022 #41 Rashda Zunde said: sio unafki wala kujipendekeza, mama amefanya kazi kubwa kuhakikisha watalii wanakuja. Huu ndio ukweli Angalia idadi ya sasa, wingi wao ndani ya muda mchache ndio utaamini kwamba mama ameupiga mwingi. Click to expand... Ww unaakili za Maisha ya kawaida kwamba mpaka uone tangazo la Revola ndio uende dukani ukanunue Wazungu kwenye utalii hawako hivyo, mwaka mmoja au miez 8 kabla ya Safari wanakuwa washalipa mpaka room za hotel
Rashda Zunde said: sio unafki wala kujipendekeza, mama amefanya kazi kubwa kuhakikisha watalii wanakuja. Huu ndio ukweli Angalia idadi ya sasa, wingi wao ndani ya muda mchache ndio utaamini kwamba mama ameupiga mwingi. Click to expand... Ww unaakili za Maisha ya kawaida kwamba mpaka uone tangazo la Revola ndio uende dukani ukanunue Wazungu kwenye utalii hawako hivyo, mwaka mmoja au miez 8 kabla ya Safari wanakuwa washalipa mpaka room za hotel