hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
sio unafki wala kujipendekeza, mama amefanya kazi kubwa kuhakikisha watalii wanakuja. Huu ndio ukweli
Angalia idadi ya sasa, wingi wao ndani ya muda mchache ndio utaamini kwamba mama ameupiga mwingi.
Ww unaakili za Maisha ya kawaida kwamba mpaka uone tangazo la Revola ndio uende dukani ukanunue
Wazungu kwenye utalii hawako hivyo, mwaka mmoja au miez 8 kabla ya Safari wanakuwa washalipa mpaka room za hotel