NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Clair Men utakuja kunishukuruWakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Mkuu,Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Anhaa mwanangu sana unataka mafuta ya kuweka uso soft bablah.Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Hahahaha
WA KIUME BABUWe wa kiume au wakike
Hii vaseline ni lotion??Vaseline for men, au Johnson's baby.. Ni ya mgando
Hii haichubui mkuu??Clair Men utakuja kunishukuru
Maji ya kunde mkuu.Mkuu,
Weka picha Ili usaidike Kwa urahisi mkuuu..
Pia tujue wewe ni mweusi, maji ya kunde au mweupe
Cha msingi ngozi ing'ae siyo kuchubuka mkuu ibaki RANGI iyo iyoMkuu,
Weka picha Ili usaidike Kwa urahisi mkuuu..
Pia tujue wewe ni mweusi, maji ya kunde au mweupe
[emoji16]
Mwanangu KANJI KANIPIGA SANA ZA USOAnhaa mwanangu sana unataka mafuta ya kuweka uso soft bablah.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app