Mafuta au lotion nzuri inayongarisha ngozi na siyo kuchubua

Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Mkuu,
Weka picha Ili usaidike Kwa urahisi mkuuu..

Pia tujue wewe ni mweusi, maji ya kunde au mweupe
 
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Anhaa mwanangu sana unataka mafuta ya kuweka uso soft bablah.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom