Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hafu nayo ajikurupuka anapewa fake. Yamevamiwa sana.achukue yale yana kopo jeusi siyo cream
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafu nayo ajikurupuka anapewa fake. Yamevamiwa sana.achukue yale yana kopo jeusi siyo cream
Kwa wakishua huwa yanawakataa sana.Haya mafuta hata mwanangu hayakumpenda, watz wameyapa promo😅😅😅
Itashine.For black skinned colour?
Huu mzigo haunaga baya sema matozi hawawez kuelewamultipurpose
View attachment 3096914
Mafuta ya kazi 😂We aya kila ghetto la mwamba yapo.
Yapo vizuri na yale ya parachuteHuu mzigo haunaga baya sema matozi hawawez kuelewa
Yana mwanae anaktwa Parachute.Mafuta ya kazi 😂
Bei chee na hayaishi haraka.
Yeah tulienda nayo Arusha mwezi uliopita jau sana.Kwenye baridi yanaganda kabisa.
Parachute kuna hadi ya buku jero sijui.Yapo vizuri na yale ya parachute
Ulifanya vyema kumbadilishia mapema yalishamkataa, mimi nikiswakia whitedent napata michubuko mdomoni.Aliota mapele, nikambadilishia, akawa na mafuta mazuri mpaka mama ake akasema baba we kiboko, though sio wakishua.
Aisee bora nitumie sabuni sio Whitedent.Ulifanya vyema kumbadilishia mapema yalishamkataa, mimi nikiswakia whitedent napata michubuko mdomoni.
Yes kuna package ndogo nadhani ndio buku jero. Sema haya parachute maeneo ya baridi huwa yanaganda sana.Parachute kuna hadi ya buku jero sijui.
Au tunatumia fake?Yes kuna package ndogo nadhani ndio buku jero. Sema haya parachute maeneo ya baridi huwa yanaganda sana.
Hiyo dawa siku hizi imepoteza ubora wake, mimi zimeshanikataa kabisa.Aisee bora nitumie sabuni sio Whitedent.
Sijui ila nimeliona hilo huwa yanaganda ila maeneo ya joto huwa yanakuwa kawaida.Au tunatumia fake?