Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Kwa kuwa hayakumpenda mwanao imekuwa promo??"Si kila Kitu Kwa ajili ya Kila Mtu"Yape basi promo hayo yaliyo mpenda mwanaoHaya mafuta hata mwanangu hayakumpenda, watz wameyapa promo😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa hayakumpenda mwanao imekuwa promo??"Si kila Kitu Kwa ajili ya Kila Mtu"Yape basi promo hayo yaliyo mpenda mwanaoHaya mafuta hata mwanangu hayakumpenda, watz wameyapa promo😅😅😅
Hayo mafuta ya dove yapoje, tuwekee picha ya kopo lake.Piga zote. Shower gel bei imesimama. So unaweza nunua bar soap za buku 5 maduka mengine ukienda supermarket mfano shoppers unapata cheap.
Ukanunua na gel ya 17k hadi 20k, hio gel ukawa unaongea kea kuruka ata siku 2 mfano unaogea leo na kesho bar afu kesho kutwa gel ivo ivo.
Na ukanunua lotion hata ndogo ya 10k.
Me napenda zaidi mafuta yake. Mazuu sana.
Hayo mafuta ya dove yapoje, tuwekee picha ya kopo lake.
Yameshachakachuliwa haifai haifaiIko poa tafuta hii red
View attachment 3096924
Mafuta ya nazi yamechakachuliwa?Yameshachakachuliwa haifai haifai
Kuna dawa niliwahi itumia kwa mtu mwaka jana ilikuwa na rangi ya kijani ni ya kihindi aisee ile ni dawa nzuri mno!! Nilimuuliz mwenyeji akawa na mbwembwe nyingi wahaya wana laana sometimes yani dawa ya meno tu akajiona matawi ikabidi nimpotezee, ila ni km inapatikana kwenye maduka ya wahindi posta
Dawa ya meno colgate max fresh ndio imechakachuliwa ipo km whitedent tu kwa sasa,Mafuta ya nazi yamechakachuliwa?
Alianza tambo za kihaya hadi kwenye dawa sio, hawashindwi kusema imetengenezwa na senene. Ungeipiga picha uitafute google kwa kusearch picha.
Hana hela ya kumiliki hizo products za Dove. [emoji23][emoji23][emoji23]Tumia Dove. Kuanzia sabuni, shower gel, hadi lotion.
Hunaa helaa, kwendraaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo umekuja kunipondea huku kisa sina kitambi [emoji28][emoji28][emoji28]
Yaan nawee unataka kusoftikaaa? Mawoooooooooo!!!Sawa bhna [emoji28][emoji28][emoji28]