Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Haya mafuta hata mwanangu hayakumpenda, watz wameyapa promo😅😅😅
Kwa kuwa hayakumpenda mwanao imekuwa promo??"Si kila Kitu Kwa ajili ya Kila Mtu"Yape basi promo hayo yaliyo mpenda mwanao
 
Piga zote. Shower gel bei imesimama. So unaweza nunua bar soap za buku 5 maduka mengine ukienda supermarket mfano shoppers unapata cheap.

Ukanunua na gel ya 17k hadi 20k, hio gel ukawa unaongea kea kuruka ata siku 2 mfano unaogea leo na kesho bar afu kesho kutwa gel ivo ivo.

Na ukanunua lotion hata ndogo ya 10k.

Me napenda zaidi mafuta yake. Mazuu sana.
Hayo mafuta ya dove yapoje, tuwekee picha ya kopo lake.
 
Hayo mafuta ya dove yapoje, tuwekee picha ya kopo lake.
PXL_20240916_125927211.jpg
 
Kwa mafuta ya mgando tumia Herbolene kampuni ya Dabur ni malaini na mazuri kwa ngozi
 
Yameshachakachuliwa haifai haifai

Kuna dawa niliwahi itumia kwa mtu mwaka jana ilikuwa na rangi ya kijani ni ya kihindi aisee ile ni dawa nzuri mno!! Nilimuuliz mwenyeji akawa na mbwembwe nyingi wahaya wana laana sometimes yani dawa ya meno tu akajiona matawi ikabidi nimpotezee, ila ni km inapatikana kwenye maduka ya wahindi posta
 
Mafuta ya nazi yamechakachuliwa?

Alianza tambo za kihaya hadi kwenye dawa sio, hawashindwi kusema imetengenezwa na senene. Ungeipiga picha uitafute google kwa kusearch picha.
 
Mafuta ya nazi yamechakachuliwa?

Alianza tambo za kihaya hadi kwenye dawa sio, hawashindwi kusema imetengenezwa na senene. Ungeipiga picha uitafute google kwa kusearch picha.
Dawa ya meno colgate max fresh ndio imechakachuliwa ipo km whitedent tu kwa sasa,

Sikukumbuka kupiga picha

Alianza kujishaua inavyouzwa bei ghali 15k mara haipatikani kwa sasa yani bla bla zilikuwa nyingi mpaka akaniboa, wakati mwanzo kabla ya sijaisifia alisema 3500
 
Back
Top Bottom