Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia mafuta ya nazi (parachute)Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles.....
Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin.
Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking kwa swala zima la kuwa nadhifu but definitely! I was't right in my recent decisions.
Natumia Protex soap kuogea which is bar soap na siyo shower gel, wakati wa baridi natumia Vaseline ya mgando (Vaseline for men iliyopo kwenye kopo la blue kuna cool na fresh) maana nipo maeneo ya baridi, wakati wa Joto (jua) kama sasa natumia lotion ya Vaseline.
Nazidi kunga'aa na kupoteza weusi asilia.....
Kuna mawazo unaweza pendezwa nayo mwanzo lakini baadae ukaona ni wrong mfano kuna wazo lilinijia la kuongeza body weight maana nilikuwa mwemba mrefu nikaona bora nizangatie diet niende GYM ninyanyue weight ni gain muscles........
But the moment niko GYM nikawa na workout na tumbo yaani kupata flat tumbo na kukata lower fat at the belly, changamoto ikaja lazima nifanye aerobic exercises, so nikashift kimawazo toka kujenga muscles kwa kugain weight mpaka kuja kuamua tena kuloose weight sababu ya ABS (wanamazoezi watanielewa nikisema ABS)
Kwa hiyo kwa sasa nipo katika equilbrium nipo interested na kugain weight lakini vile vile na workout na ABS.
Lets know ni mafuta gani natural, plus soap zisizo kuwa na impacts kubwa kwa ngozi, specifically for men
Hapa naonesha mfano wa ngozi ilivo kwa sasa... mwanzoni nilikuwa black kidogo ya apa 👇👇👇
Hii chuma wale wa telegram wameibadirishia matumizi sasa hivi inatumika kwa matumizi mengine sijui km wazalishaji wanalijua hilo na yananunuliwa hatari sanamultipurpose
View attachment 3096914
Wana telegram wanayanunua sana.Hii chuma wale wa telegram wameibadirishia matumizi sasa hivi inatumika kwa matumizi mengine sijui km wazalishaji wanalijua hilo na yananunuliwa hatari sana
Utavavaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kingoni hichi [emoji28]
Badoo, yaan hapoo badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] sisemi kitu nishachizika mpaka time hii.
Yanakata shombo la kisamvuWana telegram wanayanunua sana.
Kisamvu spikaYanakata shombo la kisamvu
Mkuu utakua una muonekano mzuri huko Daslamu 😍Piga zote. Shower gel bei imesimama. So unaweza nunua bar soap za buku 5 maduka mengine ukienda supermarket mfano shoppers unapata cheap.
Ukanunua na gel ya 17k hadi 20k, hio gel ukawa unaongea kea kuruka ata siku 2 mfano unaogea leo na kesho bar afu kesho kutwa gel ivo ivo.
Na ukanunua lotion hata ndogo ya 10k.
Me napenda zaidi mafuta yake. Mazuu sana.
Mkuu vipi hii kwa mimi mwenye ngozi ya mafuta. Sabuni 3500, shower 15,000 na lotion 12,000 hizi bei sio feki kweli? Nijibu mkuu nipo dukani hapa 🤣🤣🤣Tumia Dove. Kuanzia sabuni, shower gel, hadi lotion.
Hahahaha duka gani wwMkuu vipi hii kwa mimi mwenye ngozi ya mafuta. Sabuni 3500, shower 15,000 na lotion 12,000 hizi bei sio feki kweli? Nijibu mkuu nipo dukani hapa 🤣🤣🤣
Kama unawasiwasi nenda Shoppers.Mkuu vipi hii kwa mimi mwenye ngozi ya mafuta. Sabuni 3500, shower 15,000 na lotion 12,000 hizi bei sio feki kweli? Nijibu mkuu nipo dukani hapa 🤣🤣🤣
Super market fulani hapa Buzuruga stendHahahaha duka gani ww
Anyway vipi kwa mwenye ngozi ya mafuta? Ni suitable?Kama unawasiwasi nenda Shoppers.
Sabuni SH Amon wanauza 5,000/= Tsh ila Shoppers wanauza 3,000/= Tsh.Mkuu vipi hii kwa mimi mwenye ngozi ya mafuta. Sabuni 3500, shower 15,000 na lotion 12,000 hizi bei sio feki kweli? Nijibu mkuu nipo dukani hapa 🤣🤣🤣
Yeah itafaa jaribu kimoja basi anza na sabuniAnyway vipi kwa mwenye ngozi ya mafuta? Ni suitable?
Naona mule mule tu, ngoja nichukue tu 30+ kitu gani. Yakizungua nitakuja kuyauza hapa kwenye uziSabuni SH Amon wanauza 5,000/= Tsh ila Shoppers wanauza 3,000/= Tsh.
Lotion kuna ndogo ya 250 mL nadhani ndio bei iyo 8000 Tsh Shoppers ila SH Amon nadhani 12,000/= Tsh kubwa yake nadhani 350 mL ni 19,000/= Tsh (sina uhakika kwenye ujazo hapo)
Showegel SH nakumbuka zilikua 20,000 Tsh.
Suala la Mcheki P DidySalaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles.....