Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Aliota mapele, nikambadilishia, akawa na mafuta mazuri mpaka mama ake akasema baba we kiboko, though sio wakishua.
Ulifanya vyema kumbadilishia mapema yalishamkataa, mimi nikiswakia whitedent napata michubuko mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…