Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Dooh, asante. Kuyapata haya ni shughuli maana nayaonaga google tu kwa picha.

Kwa ujazo huo unanunua kwa bei gani?.

Mzee mwenzangu The Eric unayaona hayo mafuta kutoka SA. Wewe ukipakaa ya wapi...!?
Natumia yale ya kopo la blue.
 
ahsante sana
 
Jaribu mafuta ya maziwa ya nguruwe au ya maziwa ya ng'ombe. Ila tumia mafuta ya maziwa ya ng'ombe, mafuta nguruwe siyo mazuri, ngozi itakuwa laini sana kama kitoto
 
Dooh, asante. Kuyapata haya ni shughuli maana nayaonaga google tu kwa picha.

Kwa ujazo huo unanunua kwa bei gani?.

Mzee mwenzangu The Eric unayaona hayo mafuta kutoka SA. Wewe ukipakaa ya wapi...!?
Vaseline zote zinatengenezwa na Unilever ambayo ni brand kubwa ya consumer goods duniani. Vaseline iwe ya Kenya au ya South Africa viwango vya ubora ni vilevile hivyo usisikie maneno ya mtaani kuwa ya Kenya ni fake na ya South Africa ni original. Kwanza wana distribution ya kikanda ukikutana na Vaseline ya South Africa ikiwa Tanzania ujue haikulengwa ije huku na probability ya hiyo kuwa fake ni kubwa kuliko ya Kenya.

Vaseline ni ya Marekani, Unilever kampuni mmiliki ni ya Uingereza. Hao Kenyans na South Africans ni wakuja na wako sawa.
 
We mtu unamjua kabisa kuwa ni MHAYA, na bado ukamchokoza kwa kusifia kitu chake, ulikuwa unategemea nini mkuu?..🤔🤔 ..😂😂😂😂
 
Yale anayotumia pdiddy. Ni mafuta ya watoto yanaitwa Johnson’s… jaribu hayo. Hata mimi nayatumia na ngozi ni safi. Ukiahindwa kabisa, jipake ile sabuni ya Kenya Kwanga😜
 
Wakenya wametuharibia hadi NIVEA aiseeeh!🚮🥲
 
Dooh, asante. Kuyapata haya ni shughuli maana nayaonaga google tu kwa picha.

Kwa ujazo huo unanunua kwa bei gani?.

Mzee mwenzangu The Eric unayaona hayo mafuta kutoka SA. Wewe ukipakaa ya wapi...!?
Ya kenya ndio yapo mengi mtaani, sema hao vaseline nadhani wamebranches products zao kikanda.
 
Shukrani kwa kuniondolea hofu. Haya mafuta nayatumia mwaka wa nne huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…