Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Nimeingia google kuuliza hiki ulichokiuliza na wamenileta jf kukutana na uzi wako. Naomba jibu kutoka kwako baada ya kupata jawabu sahihi. Je, ni mafuta gani? Wachangiaji wengi nimeona wamesema NIVEA na VASELINE.
Mimi vaselinegel mixer na coconut oil vimenikubali.
 
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23.

Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
1. mafuta ya kupikia , ukipata sunola itapendeza zaidi
2. price inategemeana kama unachukua ndoo kubwa ,ndogo au kidumu
3. unayapata duka lolote la jumla na rejareja
 
Attachments

  • image_2024-11-02_194522054.png
    image_2024-11-02_194522054.png
    384.7 KB · Views: 6
1. mafuta ya kupikia , ukipata sunola itapendeza zaidi
2. price inategemeana kama unachukua ndoo kubwa ,ndogo au kidumu
3. unayapata duka lolote la jumla na rejareja
Brain slept.
 
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23.

Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
Marahaba...hujambo?! Kuhusu mafuta hilo sijui kwa kweli
 
Wanaume wa dar mnajaza server bire tu! Haya mtafute pdidy ana majibu ya hoja yako
 
Mimi kuoaka mafuta ni kimbembe, labda niende mikoa ya baridi kali...
Naweza nipitishe miaka mi5 hata 10, ngozi haijui kabisa mafuta ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom