Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Kwa hiyo unahisi sifahamu hiyo ni body spray?wale machinga wote nje kariakoo wanaziuza hizo kimbilio la mabeki tatu.....
Kwa hio body spray ndio unajipaka?

umeamua kuwaingiza mabeki tatu kwenye ugomvi eti?

hivi unawachukuliaje hao wanawake wenzio?
 
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23.

Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
Unapiga punyeto?
 
Rays
Yu
 
Wanaume si mmekubaliana mkitoka kuoga mnajikung’uta km mbwa hakuna kupaka mafuta, hizo ni tabia za kimama?!
Kwani mlichana katiba?[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanatafuta kung'arisha ngozii, rangi ya giza fa mchezo nn, woiiiih
 
Nimeshapata wakuu, @Mods mnawezamkafuta tuu huu uzi maana unaniletea usiku.
 
Kama huna mchango au ushauri ni busara kunyamaza. Kuliko jokes kwenye jambo muhimu kama hili
 
Back
Top Bottom