Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Paka tu vaseline for men mkuu
View attachment 2808058
Hi inatofauti gani mkuu na hiyo yako
JPEG_20231113_212046_6436558882915498340.jpg
 
kupitia hii Thread nimejifunza kitu

nimepitia karibia comment zote ila mafuta mazuri yametaja mara moja tu na hata muhusika kapuuza sijaona kureply hiyo comment

Na hipo hivyo hivyo hadi kwenye maisha halisi kuna watu huwa wanaongea sana ila anaejua ukweli ni moja tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Comment namba ngapi
 
Hebu ngoja kwanza, wanaume tunapakaa mafuta kwani siku hizi, si tulikubaliana kuwa mafuta kazi yake ni kupikia, kuweka kwenye gari na kuwashia moto tu au?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mafuta mbona yapo mengi tu ni wewe kuwa na pesa tu bas
 
Hivi wanaume mnakaa mnajadili mafuta ya kupaka mwilini page zote hizi? Thread ilipaswa kuishia kwenye picha ya vaseline kwisha
 
Duuh kumbe kuna skin care routine??!!! Mimi binafsi huwa napaka mafuta ya Lodge tena endapo nimeenda mkoa wenye baridi, mbali na hapo huwa sipaki mafuta kabisa
 
Nimeshapata wakuu, @Mods mnawezamkafuta tuu huu uzi maana unaniletea usiku.
Nimeingia google kuuliza hiki ulichokiuliza na wamenileta jf kukutana na uzi wako. Naomba jibu kutoka kwako baada ya kupata jawabu sahihi. Je, ni mafuta gani? Wachangiaji wengi nimeona wamesema NIVEA na VASELINE.
 
Back
Top Bottom