Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

NAKAZIA....

atumie lotion tu, inapenya fasta kwenye ngozi mafuta ya mgando unakua kama kitumbuašŸ˜‚
Hahahaha!.

Kuna mazingira ambayo yanakulazimu utumie mafuta ya mgando haswa sehemu zenye baridi kali na upepo mkavu. 1

Ukijidai kutumia lotion, ngozi itajikata kata na hutatamanika.

Lotion ni nzuri sana kwenye mazingira ya joto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…