Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Comment namba ngapi
 
Hebu ngoja kwanza, wanaume tunapakaa mafuta kwani siku hizi, si tulikubaliana kuwa mafuta kazi yake ni kupikia, kuweka kwenye gari na kuwashia moto tu au?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mafuta mbona yapo mengi tu ni wewe kuwa na pesa tu bas
 
Hivi wanaume mnakaa mnajadili mafuta ya kupaka mwilini page zote hizi? Thread ilipaswa kuishia kwenye picha ya vaseline kwisha
 
Duuh kumbe kuna skin care routine??!!! Mimi binafsi huwa napaka mafuta ya Lodge tena endapo nimeenda mkoa wenye baridi, mbali na hapo huwa sipaki mafuta kabisa
 
Nimeshapata wakuu, @Mods mnawezamkafuta tuu huu uzi maana unaniletea usiku.
Nimeingia google kuuliza hiki ulichokiuliza na wamenileta jf kukutana na uzi wako. Naomba jibu kutoka kwako baada ya kupata jawabu sahihi. Je, ni mafuta gani? Wachangiaji wengi nimeona wamesema NIVEA na VASELINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…