Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
 
Nimepita sheli jamaa anasema kabisa mafuta hamna kwa wale wanaotaka mafuta mengi halafu. Akaendelea kusema mafuta yamefichwa mpaka jumatano ambapo yatapanda bei.
Ni namna flani hivi ya kumnyoosha mwananchi anaepambana kuishi maisha yake chini ya Tsh 2500 kwa siku
 
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
Wao wanajaza ful gari zao tena hadi mafuta ya anasa lita1000 si haba hata uwe navimada wilaya3tofauti utawafikia na gari haizimwi muda wote wa stori.
 
Vyama kama TABOA,TAMSTOA,NAKOBOA etc sijui wanasubiri nini kupandisha nauli na gharama za usafirishaji.

Mafuta yamepanda kwa karibia 20% ndani ya muda mfupi ila wapo tu.

Inatakiwa common mwananchi alambishwe shubiri kisawasawa.
 
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
Makamba hii wizara kaiharibu sn
 
Si makamba kaondoka uko inakuaje bei kupanda?
Nina uwakika KIZIMKAZI hajui kuhusu kupanda bei na kufichwa kwa maksudi mafuta mpk kila juma5 ya mwanzo w mwezi ili wawatandike watanganyika.
Ukitaka kumfurahisha KIZIMKAZI mwambi kuna nafasi ya KUTEUA na KUTENGUA hapo ndipo utajua nguvu zake.
 
we huyu Docta tafadhari!
 
Makamba alikuwa laana kwenye hii wizara, ni sawa na mama'ke tu nae alivyo laana kule juu.

Tuna viingozi wasiomjali kabisa mwananchi wa kawaida, wao wamejiweka karibu na wafanyabiashara wamewaacha wafanye wanachotaka, mambo ya kijinga sana yanayoendelea nchi hii kwa sasa.
 
Back
Top Bottom