Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Ngoma Tabora hiyo
 

Attachments

  • VID-20230904-WA0112.mp4
    3.5 MB
Makamba alikuwa laana kwenye hii wizara, ni sawa na mama'ke tu nae alivyo laana kule juu.

Tuna viingozi wasiomjali kabisa mwananchi wa kawaida, wao wamejiweka karibu na wafanyabiashara wamewaacha wafanye wanachotaka, mambo ya kijinga sana yanayoendelea nchi hii kwa sasa.
Mkuu ni aibu..
Hawa jamaa ni mashetani..
 
Kwa mara ya kwanza leo nimepanga foleni kupata mafuta lakin napo nimeyakosa

Nimekaa kwenye foleni kama dk 45 hv,baadae boss wa kituo cha mafuta akatoka ofisin na kusema mafuta yameisha akarudi ndani

Wakat huo watu wanaendelea kupewa mafuta,baadae akatoka tena na kuwaambia wafanyakaz wake kuwa mashine ikivuta upepo atawafukuza kazi,ikabid nao wasitishe kutoa mafuta

Nimekaa nikatafakar sana,mpaka nikafikiria kwanini boda boda wasijichange wakatengeneza kituo chao cha mafuta kila wilaya maana wao ndo walikuwa wamejazana pale
Upo mkoa gani mkuu
 
Back
Top Bottom