Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Si makamba kaondoka uko inakuaje bei kupanda?
Nina uwakika KIZIMKAZI hajui kuhusu kupanda bei na kufichwa kwa maksudi mafuta mpk kila juma5 ya mwanzo w mwezi ili wawatandike watanganyika.
Ukitaka kumfurahisha KIZIMKAZI mwambi kuna nafasi ya KUTEUA na KUTENGUA hapo ndipo utajua nguvu zake.
Yani ni kama bado makamu wa rais na si rais kama kiongozi mkuu wa nchi, ile nafasi ya umakamu ndio ilimpendeza.
 
Makamba alikuwa laana kwenye hii wizara, ni sawa na mama'ke tu nae alivyo laana kule juu.

Tuna viingozi wasiomjali kabisa mwananchi wa kawaida, wao wamejiweka karibu na wafanyabiashara wamewaacha wafanye wanachotaka, mambo ya kijinga sana yanayoendelea nchi hii kwa sasa.
Tusiendelee kuita hawa viongozi bali tuwaite watawala maana wanachofanya ni kututawala na si kutuongoza.
 
Acha inyeshe tuone panapovuja!
Bila kupepesa macho mimi ni team MAGUFULI.
Sioni dhulma na ufisadi vikiisha bila kupata kiongozi wa aina ya Magufuli
 
Field Marshal Putin tusamehe basi sisi waja wako, tumekosa sana tumekosa sana, tumekosa sana, ndio maana tunakuinamia Baba Putin, tusaheme sana
 
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
Kuna genge litaelekeza lawama kwa Dr. Slaa
 
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.

Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.

Kazi iendelee,Mikumi Tena.
 
Back
Top Bottom