Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wao wanajaza ful gari zao tena hadi mafuta ya anasa lita1000 si haba hata uwe navimada wilaya3tofauti utawafikia na gari haizimwi muda wote wa stori.Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
But not to this extent.Duniani kote
Makamba hii wizara kaiharibu snHili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri yenu. Mkijashtuka.... its too late.
😆😆😆😆Vyama kama TABOA,TAMSTOA,NAKOBOA etc sijui wanasubiri nini kupandisha nauli na gharama za usafirishaji.
Mafuta yamepanda kwa karibia 20% ndani ya muda mfupi ila wapo tu.
Inatakiwa common mwananchi alambishwe shubiri kisawasawa.
we huyu Docta tafadhari!Si makamba kaondoka uko inakuaje bei kupanda?
Nina uwakika KIZIMKAZI hajui kuhusu kupanda bei na kufichwa kwa maksudi mafuta mpk kila juma5 ya mwanzo w mwezi ili wawatandike watanganyika.
Ukitaka kumfurahisha KIZIMKAZI mwambi kuna nafasi ya KUTEUA na KUTENGUA hapo ndipo utajua nguvu zake.
Unadhani Mapinduzi yanakuja tu?Tobaaaaa tufanye mapinduzi
Duniani kote
ah classmate taratibu baaas si tayari tuna chama cha mapinduzi sa we unataka mapinduzi yepi tenaTobaaaaa tufanye mapinduzi