Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

Vituo vyote Maeneo ya kisemvule,vikindu,mwandege na kongowe hakuna MAFUTA wanasubiri kesho wapige hela
 
Vyama kama TABOA,TAMSTOA,NAKOBOA etc sijui wanasubiri nini kupandisha nauli na gharama za usafirishaji.

Mafuta yamepanda kwa karibia 20% ndani ya muda mfupi ila wapo tu.

Inatakiwa common mwananchi alambishwe shubiri kisawasawa.
Hata mimi nashangaa wakati huu sijui wamekuwaje,wakat miaka iliyopita hapo zaman mafuta yalikuwa yakipanda tu kidogo nauli nazo zinapanda na bidhaa karibia zote zinapanda,lakin sasa nitofauti
 
Kwa mara ya kwanza leo nimepanga foleni kupata mafuta lakin napo nimeyakosa

Nimekaa kwenye foleni kama dk 45 hv,baadae boss wa kituo cha mafuta akatoka ofisin na kusema mafuta yameisha akarudi ndani

Wakat huo watu wanaendelea kupewa mafuta,baadae akatoka tena na kuwaambia wafanyakaz wake kuwa mashine ikivuta upepo atawafukuza kazi,ikabid nao wasitishe kutoa mafuta

Nimekaa nikatafakar sana,mpaka nikafikiria kwanini boda boda wasijichange wakatengeneza kituo chao cha mafuta kila wilaya maana wao ndo walikuwa wamejazana pale
 
Makamba kaondoka kaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…