Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiweNi kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.
Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.
Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.
America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.
Niitieni Mafwele
Mto wa mbu
Illinois-USA
Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.Ni kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.
Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.
Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.
America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.
Niitieni Mafwele
Mto wa mbu
Illinois-USA
Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?Ni kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.
Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.
Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.
America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.
Niitieni Mafwele
Mto wa mbu
Illinois-USA
Meza majiiChadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?
Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
chadomo ndio nini we chawa mpevu wa ccm?Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?
Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
Bora wamalizane wenyewe tuHaya mambo yakiendelea yatakuja ku mkost kila mtu ktk nchi
Kwani wamemaliza au ndo kwanza wanaanza….?Na yule mzee mzanzibar (Ameir) aliyekuwa akiratibu na kusimamia mauji ya OCT29 mbona yeye hawamlimi ban?
Ni kweli, ila lengo lao siyo hilo.sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
Jinai Huwa haifi. Vyeo Huwa vinaisha ipo siku atasimamishwa mbele ya Sheria hata akiwa na mkongojo. Endelea kuishi uone mengiMark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
Kobaz mliamua kuwa upande wa wauajji kisa tu mnashare ukobazi na mratibu mkuu ila tambua kila mlango utafunguliwa maana mabwana zenu taratibu wanatikiwa sasa mtakosa wa kuwatomb. gallow bird 100 othersBora wamalizane wenyewe tu
Bado wanaendelea hilo ni moja kuna kutaifishwa mali zake kuna kufreeze akaunti zake hapo ndio kitakuwa kilio cha kusaga meno.chadomo ndio nini we chawa mpevu wa ccm?