Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
Watu wengi wana prefer zaidi Marekani na Ulaya kwa opportunities hawaendi kutalii, unaenda Singapore kushangaa magorofa?
 
Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?

Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
Comment from another brain crippled, named Choicevariable, ambaye ni miongoni mwa kundi la watekaji na wauji, sawa na lile jingine liitwalo Tlaatlaah. Damu za watu, zimewaondolea akili.
 
wanatakiwa wazuiwe wafanyabiashara na wanasiasa ndo linakuwa pigo sio kamanda wa polisi hana impact kwenye uchumi
Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, wengine wana properties wananyumba huko kama Kikwete, think bigger don't be myopic.
 
Comment from another brain crippled, named Choicevariable, ambaye ni miongoni mwa kundi la watekaji na wauji, sawa na lile jingine liitwalo Tlaatlaah. Damu za watu, zimewaondolea akili.
Shida ya nyie Chadomo mna akili ndogo sana.Nimeuliza kwamba Mafwele sio wa kwanza kuzuiwa alishazuiwa Bashite Kwa madai hayo hayo.

Swali nyie inawanufaishaje Kisiasa? Je huyo Jamaa ana kipi Cha kujutia kitakachowasaidia nyie Kisiasa? Mbaya zaidi wamewataja Wakenya kwamba ndio wa maana.

Tungesikia kwamba amekamatwa ingekuwa jambo la maan Sasa kuzuiwa ndio nini? Kuna ulazima wa kwenda huko USA?

Harafu nyie wapumbavu Huwa mnasingizia Wazanzibari,huyo Mafwele ni Mzanzibari wa wapi?
 
Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wao wanasoma huko wakinyimwa Vida? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, think bigger.

Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, wengine wana properties wananyumba huko kama Kikwete, think bigger.
kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapa
 
Hiyo ban haiwez kumzuia au kumpunguza ukatili, tuache au tupunguze matarajio ambayo hayapo
hata mimi nashangaa mtu ambaye anaweza kubadilishwa kazi akapewa mwingine hiko cheo hata akipigwa ban imesaidia nini kama taifa kwenye huu mkwamo..kwanza unakuta hata watoto wenyewe walio marekani labda wawili tu au mmoja .
 
Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?

Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.
Ukiingizwa kwenye computer ya ban Marekani iko shared sehemu zote muhimu na different immigration dpts za nchi nyingine. Hata Prime Banks. Yaani kama wewe ni international citizen kama mimi basi ni hasara kubwa. Ila kama wewe kariokoo - Manzese basi hamna shaka.

Maana hapa kuna Mamba na Kenge
 
kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapa
Hujui maana ya kupigwa ban kwenye nchi kubwa kama Marekani, sidhani kama hata una passport wewe.

Ukipigwa ban ni nchi zote zinazoshirikiana na Marekani huendi hata kama una mali zako UK zinakuwa freezed.

Msome huyu.

You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.
Ukiingizwa kwenye computer ya ban Marekani iko shared sehemu zote muhimu na different immigration dpts za nchi nyingine. Hata Prime Banks. Yaani kama wewe ni international citizen kama mimi basi ni hasara kubwa. Ila kama wewe kariokoo - Manzese basi hamna shaka.

Maana hapa kuna Mamba na Kenge
 
You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.
Ukiingizwa kwenye computer ya ban Marekani iko shared sehemu zote muhimu na different immigration dpts za nchi nyingine. Hata Prime Banks. Yaani kama wewe ni international citizen kama mimi basi ni hasara kubwa. Ila kama wewe kariokoo - Manzese basi hamna shaka.

Maana hapa kuna Mamba na Kenge
Kuna ulazima gani wa kuwa international? Tufanye ziko shared mara ngapi umemuona Makonda akisafiri mfano juzi tuu alikuwa Morocco kwenye Afcon huko sio kuwa international?

Bado hujanipa hasara ya kuwa banned maana hakuna ulazima wa kwenda USA,au wewe sema Kuna ulazima gani wa kwenda USA?
 
Tusiwategemee hao wamarekani saana. Hapa la kufanya ni kujilinda kwanza kwa kushikamana kama walivyofanya kwa kufata hao watekaji walio mteka msaidizi wa lissu kwa wale bodaboda walio fuatilia hadi wakawabana na jamaa akapata nafasi ya kusepa. Na tusiwe na tabia ya ngiri ya kusahau mda mfupi tu baada ya tukio. Siku moja watakamatwa tena mchana kweupe wagongwe hadi wataje wahusika. Tushkane, tupendane, na tulindane sisi kwa sisi na yote yataisha.
 
Back
Top Bottom