Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

hata mimi nashangaa mtu ambaye anaweza kubadilishwa kazi akapewa mwingine hiko cheo hata akipigwa ban imesaidia nini kama taifa kwenye huu mkwamo..kwanza unakuta hata watoto wenyewe walio marekani labda wawili tu au mmoja .
Kama mtu alitekwa na kufirwa kwa maelekezo ya Fau, hiyo ban itakuwa na effects zipi kwa waathirika?

Mimi kitu ningeona cha maana ni kumteka na kumfira kama walivyofanyiwa wahanga wengine.
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatupeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha

If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
  1. Diplomatic strain
    The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.
  2. Damage to international reputation
    If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.
  3. Reduced diplomatic engagement
    The official may be unable to attend:
    • bilateral meetings in the U.S.,
    • UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
    • World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
    • trade or security negotiations.
  4. Internal political pressure
    Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.
  5. Possible sanctions expansion
    In serious cases, bans on individuals can precede:
    • financial sanctions,
    • aid restrictions,
    • military cooperation limits,
    • or broader measures against government entities.
  6. Economic implications
    If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
    • foreign investment,
    • banking relationships,
    • development funding,
    • procurement deals,
    • and international partnerships.
  7. Reciprocal retaliation
    The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.

Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatipeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.
sasa kama wanajua mafwele anatumwa na wakubwa si wapige tu ban kubwa kwamba raisi na waziri wa mambo ya ndani wote wasiingie US ili kama ni pressure iwekwe ionekane Mr Attorney
 
sasa kama wanajua mafwele anatumwa na wakubwa si wapige tu ban kubwa kwamba raisi na waziri wa mambo ya ndani wote wasiingie US ili kama ni pressure iwekwe ionekane Mr Attorney

Wanatuma message ya kidiplomasia kwamba hatua zinapaswa kuchukuliwa kurekebisha, kiburi kikijaa wanapanda tu taratibu, ni suala la muda tu
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatipeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina,pewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
Big up
Um
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatipeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio pecedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
Big up
Umesomeka vyema
Mwenye uelewa na amakinike
 
Kuna ulazima gani wa kuwa international? Tufanye ziko shared mara ngapi umemuona Makonda akisafiri mfano juzi tuu alikuwa Morocco kwenye Afcon huko sio kuwa international?

Bado hujanipa hasara ya kuwa banned maana hakuna ulazima wa kwenda USA,au wewe sema Kuna ulazima gani wa kwenda USA?
Kwenda Banana Republic sawa. Mwambie aende Australia, Europe, Hong Kong au Canada, Uingereza.

Au aende HSBC au Credit Swiss afungue akaunti! Halafu wewe siyo Makonda unajuaje anavyojihisi?

Hiyo ya Morocco inaweza kuwa tu ni “waiver” kwa msala upitao.

Ban ni kitu kibaya sana inakushusha hata utu wake. Usoni anaonekana kama unavyomuona lakini moyoni sivyo ndivyo
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatipeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha

If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
  1. Diplomatic strain
    The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.
  2. Damage to international reputation
    If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.
  3. Reduced diplomatic engagement
    The official may be unable to attend:
    • bilateral meetings in the U.S.,
    • UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
    • World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
    • trade or security negotiations.
  4. Internal political pressure
    Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.
  5. Possible sanctions expansion
    In serious cases, bans on individuals can precede:
    • financial sanctions,
    • aid restrictions,
    • military cooperation limits,
    • or broader measures against government entities.
  6. Economic implications
    If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
    • foreign investment,
    • banking relationships,
    • development funding,
    • procurement deals,
    • and international partnerships.
  7. Reciprocal retaliation
    The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.

Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
Hivyo ndivyo nami ninavyojua.

Naamini pia Mafwele ni mwanzo tu. Wengine wanafuatia.

Yaliyotokea Oktoba 29 ni tofauti kabisa na mengine yaliyowahi kutokea huko nyuma.
 
Back
Top Bottom