Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Labda useme China. Huwezi kwenda hizo nchi zingine za Ulaya au Japan kama umepigwa ban kwenda USA.
 
Ana dunda wapi? Umeshamuona akikinyaga huko? Ana account nje ya nchi haswa benki za nato au us?
Ban sio kwa akjili ya kutoa uhai, ni kwa ajili ya kaz zingine. Na ni mwanzo tu
Kwani yeye ni kiongozi wa huko?mkimbizi axcha ufala
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwaka mmoja uliopita baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania waliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.

Tangazo hilo la umma limetolewa chini ya Kifungu cha 7031(c) cha Sheria ya Bajeti ya Usalama wa Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Programu Zinazohusiana ya mwaka 2026 (Div. F, P.L. 119-75).

Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Tommy Pigott.

View attachment 3592636
View attachment 3592637
Mafelw haijitaji kwenda Marekani. Take actions asiumize wengi. Ni
 
Hujui maana ya kupigwa ban kwenye nchi kubwa kama Marekani, sidhani kama hata una passport wewe.

Ukipigwa ban ni nchi zote zinazoshirikiana na Marekani huendi hata kama una mali zako UK zinakuwa freezed.

Msome huyu.
Watanzania wengi hawana Elimu ya mambo ya safari wao kila kitu wanaona sawa tu ukipigwa ban USA ni kwamba hata washirika wake pia hawatakupokea kwa jambo lolote na wakiamua wanakukamata popote na wanakupeleka USA juzi kati wamemchukua senator wa Mexico nae kaenda USA alikua anashirikiana na wauza sumu kutoa taarifa za wanaopinga na kuuawa walianza na ban muda mrefu sasa wameenda kumchukua..
 
Umeeleza vizuri lakini hizo ni mentality za kikoloni ambazo hao Mabeberu wanazo.

Ujue Mabeberu wanadhani wao ndio wanaendesha Uchumi wetu tena Kwa misaada kitu ambacho hakipo.

Nasisitiza alishakuwa banned Bashite hatujashuka kiuchumi wala kidemokrasia ,so ni muendelezo ule ule.

Mwisho Kwa Dunia ya Sasa ya ushindani Beberu anahitaji Afrika kuliko sisi Afrika tunavyowahitaji wao.cc Quinine
Zingatia "diplomatic message" hayo mengine ya hisia mimi sijaongelea! US anaweza kukuground usiuze hata njugumawe na huo ushindani ukabaki kati ya Magu na njombe tu na ukashangaa! Majuzi tu hapa kabla ya uvamizi wa Iran, riyal yao ilishuka hadi laki kwa dola 1, zingatia hii sio message ya US to mafwele by the way who is mafwele hadi Rubio amzingatie? Hii ni massage kwa mwenye mbwa anayemfuga, period
 
Zingatia "diplomatic message" hayo mengine ya hisia mimi sijaongelea! US anaweza kukuground usiuze hata njugumawe na huo ushindani ukabaki kati ya Magu na njombe tu na ukashangaa majuzi kabla ya uvamizi wa Iran, riyal yao ilishuka hadi laki kwa dola 1, zingatia hii sio message ya US to mafwele by the way who is mafwele hadi Rubio amzingatie? Hii ni massage kwa mwenye mbwa, period
Hana hiyo jeuri
 
Eti upigwe ban US na EU useme utaenda Singapore au Morroco una akili kweli.

Waione...
ndege JOHN
ChoiceVariable
Mr Attorney
I don't know how this helps.
You had a Regional commissioner designated but he was promote to be a minister.
Now you have designated a Police commissioner,he may be promoted to IGP.
What we need are these people facing justice at the @IntlCrimCourt.
You could make this happen.
 
Umeeleza vizuri lakini hizo ni mentality za kikoloni ambazo hao Mabeberu wanazo.

Ujue Mabeberu wanadhani wao ndio wanaendesha Uchumi wetu tena Kwa misaada kitu ambacho hakipo.

Nasisitiza alishakuwa banned Bashite hatujashuka kiuchumi wala kidemokrasia ,so ni muendelezo ule ule.

Mwisho Kwa Dunia ya Sasa ya ushindani Beberu anahitaji Afrika kuliko sisi Afrika tunavyowahitaji wao.cc Quinine
Nafikiri Ngwathra kaeleza kwa kirefu athari (consequences) za mtumishi wa serikali kupigwa ban na nchi kubwa kama Marekani.

Pamoja na athari za mtu mmoja mmoja kama Bashite kuna athari nyingi za kidiplomasia kwa nchi husika.

Mwaka huu kuna kombe la dunia linafanyika Marekani, Makonda ni waziri wa michezo hatokwenda utasema atawakilishwa, lkn hutaona athari zake.

Mafyele ni government official hataruhusiwa kuhudhuria mikutano yote ya kiusalama utasema atawakilishwa, wewe huoni damage kwa nchi, ok, kuna maafisa wengi wa serikali watapigwa ban still utasema huoni athari yeyote, mwisho atapigwa ban kiongozi wao Mkuu labda ndipo akili zitakurudi.
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatipeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha

If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
  1. Diplomatic strain
    The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.
  2. Damage to international reputation
    If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.
  3. Reduced diplomatic engagement
    The official may be unable to attend:
    • bilateral meetings in the U.S.,
    • UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
    • World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
    • trade or security negotiations.
  4. Internal political pressure
    Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.
  5. Possible sanctions expansion
    In serious cases, bans on individuals can precede:
    • financial sanctions,
    • aid restrictions,
    • military cooperation limits,
    • or broader measures against government entities.
  6. Economic implications
    If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
    • foreign investment,
    • banking relationships,
    • development funding,
    • procurement deals,
    • and international partnerships.
  7. Reciprocal retaliation
    The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.

Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwaka mmoja uliopita baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania waliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.

Tangazo hilo la umma limetolewa chini ya Kifungu cha 7031(c) cha Sheria ya Bajeti ya Usalama wa Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Programu Zinazohusiana ya mwaka 2026 (Div. F, P.L. 119-75).

Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Tommy Pigott.

View attachment 3592636
View attachment 3592637
Mafwele akikuteka lazima akufire halafu hapo kanisa la Sabato Mikocheni yeye ni kiongozi mkubwa sana
 
Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?

Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
Chawa,
Safari ndefu huanza na hatua moja, tulia
 
Back
Top Bottom