Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

hapi ndipo mnapokosea, wanaoharibu hii nchi ni muslims na huyo ni muslim aliyetokea tu kuwa mwanamke lkn utawala wake hauna tofauti na awamu ya 2/4, mnapaswa mseme never again ku-trust muslim with power in tanzagiza na mzanzibari ndiyi kabisa hata katiba ibadilishwe khs makamu wa raisi kutokea zanzibar, hao siyo binadamu …
But muslims waliopata kuongoza hii nchi before her hawakuwa na ukatili kiasi hiki, she is exceptional . So i dont think is about dini
 
Haisaidii kitu kama wapo serious hiyo ban angepigwa kwanza head of the state na cream yake inayo fuata ya uongozi ingesaidia mnooo kupeleka ujumbe duniani kwamba viongozi hao ni Waharamia na pengine katika baadhi ya Nchi wangetengwa lakini ban kapigwa mafwele !!! Huko duniani ni nani anaye mjua mafwele period
Ni warning shot fired at tz gov, kwanba they are whatching
 
Marco Rubio kijana pendwa wa trump, sio mda mwamba JD Vance atamuuma sikio Mzee baba trump wafanye unyakuo mahala.
 
I don’t see how this affect Mafwele hasa ukizingatia kazi yake

Hana ulazima wa kwenda usa hata kidogo…. Especially now kupata visa ya usa ni changamoto

Hizi ndio zile situation za kitoto my anakuambia sichezi na wewe, au sili na wewe
Wabunge Wana diplomatic passport, unadhani kwanini kizigha kapewa ubunge zaidi ya kutaka hiyo passport
 
Sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
Unaongelea Allies ambao nao wanaweza shughulika na mafwele, usijidanganye. Hii kitu itakuwa serious mpaka watu hawata amini kabisa.
 
You wish , si kila aliepo huku ni mbeba boksi, bi story ambazo maskin wa kibongo wanajazana kuwaponda waliovuka border. Yuna doctors,professionals mbali mbali tena watanzania wako napapiga kazi

So uwaziri wake means nothing to us, zaidi ya kumfaidisha yeye mwenyewe
Mnazunguka tu nyie wakimbizi
 
Sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
Issue sio kwenda kwa sababu ya uzuri wa nchi, hio ni lugha ya kidiplomasia..

Suala ni diplomasia na taswira ya nchi. Marekani kuweka zuio hili maana yake imetangaza rasmi kuwa haina imani na Jeshi la Polisi na mifumo ya haki Tanzania.. nahaitoishia hapo..
 
But muslims waliopata kuongoza hii nchi before her hawakuwa na ukatili kiasi hiki, she is exceptional . So i dont think is about dini

lkn usisahau pia waliongoza vipindi tofauti awamu ya 2 Nyerere alikuwepo bado, ya 4 Mkapa alikuwepo sasa hivi hakuna hata mmoja raisi mstaafu mwenye hekima na upendo wa kibinadamu wa kuzuia chochote, hivyo wako wenyewe wanafanya walivyopanga na ndiyo maana evil reveals it self.

nina uhakika hata yeye angekuwa raisi wakati maraisi wengine kama Mkapa wapo mengi yasingetokea au siyo kwa ukatili tulioushuhudia atleast.

haya mambo yanayotokea leo hii yalipangwa kwa muda mrefu, total take over of power by muslims, its play book chapter by chapter, kuna sababu kwa nini wamebaki wenyewe na maraisi wengine wote “wametwaliwa”, ipo siku wana historia watakuja kufumbua hilo fumbo lkn binafsi naamini haikutokea tu.

usisahau kwamba muslims wako vitani against wanaouita “mfumo Kristo” ambapo lengo ni kubomoa “mfumo Kristo” na ku-replace na islamic sharia, na ndiyo maana sasa hivi wameungana na barbaria somalia, jiulize kwa nini somalia? we have nothing in common with low iq somalia si lugha, siyo utamaduni hata muonekano tu ni tofauti sasa kwa nini waletwe kwetu wakati tayari kila walikopelekwa wameleta shida? kila kitu kimepangwa …
 
Back
Top Bottom