Both mabeberu na wachina wanaheshimiana. Hakuna heshima ya mkubwa na mdogo.Unaona argument zako! Typical Kariokoo - Manzese. Nyie ndiyo mnafanya nchi za Afrka ziwe hali hii halafu wewe Waziri.
Wewe una account Burundi na yule Mwenye account Uswiss nani atakubalika zaidi kufanya International business?
China ni nchi kubwa sana duniani lakini ni Nchi inayowaheshimu sana Mabeberu. Ila kwa akili yako fupi utakataa.
Wamarekani wanajua mengi sana kuhusu hao akina Mafwele, Samia, na wengine wote!Ninaiamini intelijensia ya US hadi wakuweke kwenye vitabu vyao basi ni muda mrefu ulikuwepo katika rada zao na wameshapata sababu ya msingi .
Nafikiri hizo ban peke yake hazitoshi, inatakiwa hatua zaidi zichukuliweNafikiri Ngwathra kaeleza kwa kirefu athari (consequences) za mtumishi wa serikali kupigwa ban na nchi kubwa kama Marekani.
Pamoja na athari za mtu mmoja mmoja kama Bashite kuna athari nyingi za kidiplomasia kwa nchi husika.
Mwaka huu kuna kombe la dunia linafanyika Marekani, Makonda ni waziri wa michezo hatokwenda utasema atawakilishwa, lkn hutaona athari zake.
Mafyele ni government official hataruhusiwa kuhudhuria mikutano yote ya kiusalama utasema atawakilishwa,
wewe huoni damage kwa nchi, ok, kuna maafisa wengi wa serikali watapigwa ban still utasema huoni athari yeyote, mwisho atapigwa ban kiongozi wao Mkuu labda ndipo akili zitakurudi.
Minor na nimeuliza Ina faida gani Kwa Chadema wanaoshangilia?Nafikiri Ngwathra kaeleza kwa kirefu athari (consequences) za mtumishi wa serikali kupigwa ban na nchi kubwa kama Marekani.
Pamoja na athari za mtu mmoja mmoja kama Bashite kuna athari nyingi za kidiplomasia kwa nchi husika.
Mwaka huu kuna kombe la dunia linafanyika Marekani, Makonda ni waziri wa michezo hatokwenda utasema atawakilishwa, lkn hutaona athari zake.
Mafyele ni government official hataruhusiwa kuhudhuria mikutano yote ya kiusalama utasema atawakilishwa,
wewe huoni damage kwa nchi, ok, kuna maafisa wengi wa serikali watapigwa ban still utasema huoni athari yeyote, mwisho atapigwa ban kiongozi wao Mkuu labda ndipo akili zitakurudi.
Rais wa sasa wa Syria alikuwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa na Marekani. Cha ajabu alivyopata urais akatembelea Washington na amekuwa mshirika muhimu wa marekani.Ninaiamini intelijensia ya US hadi wakuweke kwenye vitabu vyao basi ni muda mrefu ulikuwepo katika rada zao na wameshapata sababu ya msingi .
Wamarekani wame establish pattern ya ukiukwaji wa haki za kibinadamu hapo.Nafikiri Ngwathra kaeleza kwa kirefu athari (consequences) za mtumishi wa serikali kupigwa ban na nchi kubwa kama Marekani.
Pamoja na athari za mtu mmoja mmoja kama Bashite kuna athari nyingi za kidiplomasia kwa nchi husika.
Mwaka huu kuna kombe la dunia linafanyika Marekani, Makonda ni waziri wa michezo hatokwenda utasema atawakilishwa, lkn hutaona athari zake.
Mafyele ni government official hataruhusiwa kuhudhuria mikutano yote ya kiusalama utasema atawakilishwa, wewe huoni damage kwa nchi, ok, kuna maafisa wengi wa serikali watapigwa ban still utasema huoni athari yeyote, mwisho atapigwa ban kiongozi wao Mkuu labda ndipo akili zitakurudi.
Rais wa sasa wa Syria alikuwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa na Marekani. Cha ajabu alivyopata urais akatembelea Washington na amekuwa mshirika muhimu wa marekani.Wamarekani wanajua mengi sana kuhusu hao akina Mafwele, Samia, na wengine wote!
Hao wote ni lazima huwa wanatumia vitu vya Wamarekani…..iwe ni kadi za benki [Visa, MasterCars], iPhone, mifumo ya miamala ya kifedha, ndege za usafiri, na kadhalika.
Mfano tu, hizo iPhones wanazotumia hao akina Mafwele usikute zina collect tu taarifa na kuzirusha kwao.
Marekani ni superpower kwelikweli….
Mkuu unataka over a night wakamatwe wapelekwe ICC, huu ni mwanzo na ICC ina procedures zake, acha wawe promoted kwa jeuri na kiburi cha boss wao, lkn siku ikifika watakutana na hukumu zao.I don't know how this helps.
You had a Regional commissioner designated but he was promote to be a minister.
Now you have designated a Police commissioner,he may be promoted to IGP.
What we need are these people facing justice at the @IntlCrimCourt.
You could make this happen.
Ameir?Na yule mzee mzanzibar (Ameir) aliyekuwa akiratibu na kusimamia mauji ya OCT29 mbona yeye hawamlimi ban?
Huyu Mama anaitumbukiza nchi shimoni...Atakayekuja kuchukua kijiti atakua na kazi ya ziada kuisafisha nchi kitaifa na kimataifa.TZ mambo ni mabaya, ila tusitegemee US itasaidia chochote
kwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba boxKwamba kabla ya ban alikuwa haendi? Unajua ni viongoz wangapi wa tz wanapiga trip kwenda huko?
Ussite watu wakimbiz kama hujui international relation kenge wahedi
You wish , si kila aliepo huku ni mbeba boksi, bi story ambazo maskin wa kibongo wanajazana kuwaponda waliovuka border. Yuna doctors,professionals mbali mbali tena watanzania wako napapiga kazikwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba box
Ndo mana nasema hii ni danganya toto tuuMark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
Wewe unadhani mafwele na familia yake na mabosi zake wanaichukulia kama danganya toto tu!?Ndo mana nasema hii ni danganya toto tuu
Analba vyeo vya tz, huko njee kwenye taasisi yoyote hata ya kijamii ana nafasi yoyote?Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
Daliliyya mvua ni mawingu, tunaenda mdo mdo MzeeHaisaidii kitu kama wapo serious hiyo ban angepigwa kwanza head of the state na cream yake inayo fuata ya uongozi ingesaidia mnooo kupeleka ujumbe duniani kwamba viongozi hao ni Waharamia na pengine katika baadhi ya Nchi wangetengwa lakini ban kapigwa mafwele !!! Huko duniani ni nani anaye mjua mafwele period
I don’t see how this affect Mafwele hasa ukizingatia kazi yakeMark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.