Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Marekani siyo mbinguni. Mafwele endelea kupiga kazi.
 
Wakati wa kikwete 2010 huko Zanzibar hamkuuliwa, wakati wa kikwete 2015 huko Zanzibar hamkuuliwa? Nauliza tu mimi ni mgeni hii nchi

Wakati wa Kikwete watu wakiingiliwa majumbani wakipigwa ndio lile dubwana Janjaweed lilianza kazi rasmi. Na Kuna watu wakipigwa na kuuliwa mpaka mwisho yakaja maridhiano ya Amani Karume na Maalim Seif. Huyo Kikwete hakuridhika akaleta jeshi likamteka Jecha na kufuta uchaguzi ,kuongezea fitina
 
Huyu balozi tumtinue arudi kwao
 
Wamarekani ******* tu WANAFIRWA,.......hivi mtu muuzaji kama MAFWELE naahitaji kwenda marekani Ili aishi?,yaaani mtu aende maexico,aende UAE,CHINA,RUSSIA etc........ashindwe kuishi kwa sababu haendi MAREKANI?😃😁😁😁
 
Kufikwa na umauti bila kuikanyaga ardhi ya USA haiondoi kuingia peponi.
 
Kufikwa na umauti bila kuikanyaga ardhi ya USA haiondoi kuingia peponi.
 
Bado wanaendelea hilo ni moja kuna kutaifishwa mali zake kuna kufreeze akaunti zake hapo ndio kitakuwa kilio cha kusaga meno.
Huyu mafwele ana shemeji yake wa zamani ambae alikuwa ni mke wa mdogo wake,anayeishi marekani.Namfahamu sana kipindi akiishi mwanza kama rco.Nina stori moja kali sana kuhusu mkewe
 
Hii miaka hadi ikiisha tutakufa kwa sanction tu na depression
 
Mafwele the killer
 
Huyu mafwele ana shemeji yake wa zamani ambae alikuwa ni mke wa mdogo wake,anayeishi marekani.Namfahamu sana kipindi akiishi mwanza kama rco.Nina stori moja kali sana kuhusu mkewe
Lete stori hiyo mkuu
 
Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
Hii sio ishara njema kwa mahusiano baina ya US na Tz; ni sawa na kuwatangazia Wamarekani kuwa sisi hatujallli haki za watu.

Vv
 
Huyu jamaa shutuma ni nyingi sana dhidi yake lakini hajawahi sikika kujitetea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…