Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, wengine wana properties wananyumba huko kama Kikwete, think bigger don't be myopic.
Ndi mnadanganyana vijiweni kuwa kikwete Ana nyumba us
Kwa viza Mbona tayari haruhusiwi mbongo yoyote kwenda huko
Na matibabu, us ni upuuzi mtupu
, matibabu yako UK au Europe yenye ubora Mara Mia kushinda us
 
Shida ya nyie Chadomo mna akili ndogo sana.Nimeuliza kwamba Mafwele sio wa kwanza kuzuiwa alishazuiwa Bashite Kwa madai hayo hayo.

Swali nyie inawanufaishaje Kisiasa? Je huyo Jamaa ana kipi Cha kujutia kitakachowasaidia nyie Kisiasa? Mbaya zaidi wamewataja Wakenya kwamba ndio wa maana.

Tungesikia kwamba amekamatwa ingekuwa jambo la maan Sasa kuzuiwa ndio nini? Kuna ulazima wa kwenda huko USA?

Harafu nyie wapumbavu Huwa mnasingizia Wazanzibari,huyo Mafwele ni Mzanzibari wa wapi?
Washakupata ndugu muuaji.
 
Rais wa sasa wa Syria alikuwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa na Marekani. Cha ajabu alivyopata urais akatembelea Washington na amekuwa mshirika muhimu wa marekani.
Kwamba hapa unataka kufanya justification ipi?

Kwamba tuhuma za Mafwele anasingiziwa?

Ni muda gani umepita Mafwele yuko kwenye spotlight kwa mambo maovu na hakuna mahali serikali imechukua hatua kufanya uchunguzi wa wazi ili kumsafisha badala yake wanakaa kimya ?

Kuhusu rais wa Syria , wao waliomuweka kwenye vitabu vyao na baadae kuamua kumtoa zilikuwepo sababu na nikufahamishe tu ukiona mtu kamkaribia hata rais wa US achilia mbali kuingia hadi ofisini ujue ameshakuwa vetted muda mrefu.

Hivyo ninaamini mtu akiingia katika vitabu vyao wanakua wamejiridhisha pasina shaka na wakimtoa pia ipo namna hiyo hiyo.

Wanaweza kuwa supapawa lakini hawana ubinadamu kama mnavyoaminishana.
Kwahiyo mwenye ubinadamu ni Mafwele?
 
Kwamba hapa unataka kufanya justification ipi?

Kwamba tuhuma za Mafwele anasingiziwa?

Ni muda gani umepita Mafwele yuko kwenye spotlight kwa mambo maovu na hakuna mahali serikali imechukua hatua kufanya uchunguzi wa wazi ili kumsafisha badala yake wanakaa kimya ?

Kuhusu rais wa Syria , wao waliomuweka kwenye vitabu vyao na baadae kuamua kumtoa zilikuwepo sababu na nikufahamishe tu ukiona mtu kamkaribia hata rais wa US achilia mbali kuingia hadi ofisini ujue ameshakuwa vetted muda mrefu.

Hivyo ninaamini mtu akiingia katika vitabu vyao wanakua wamejiridhisha pasina shaka na wakimtoa pia ipo namna hiyo hiyo.

Kwahiyo mwenye ubinadamu ni Mafwele?
Hao marekani unavyowaongelea, mtoto mdogo anaweza kuhisi unaongelea malaika au viumbe wenye uwezo usio wa kawaida kupita binadamu wote.

Na hayo ni madhara ya western movies.
 
Ndi mnadanganyana vijiweni kuwa kikwete Ana nyumba us
Kwa viza Mbona tayari haruhusiwi mbongo yoyote kwenda huko
Na matibabu, us ni upuuzi mtupu
, matibabu yako UK au Europe yenye ubora Mara Mia kushinda us
Nani alikwambia Mtanzania hawezi kupata visa ya Marekani, hujui Kikwete clinic yake hufanyia huko, huna infos zozote.
 
Hao marekani unavyowaongelea, mtoto mdogo anaweza kuhisi unaongelea malaika au viumbe wenye uwezo usio wa kawaida kupita binadamu wote.

Na hayo ni madhara ya western movies.
Kwa vyovyote Marekani wanatuzidi, taja kimoja ambacho tunawazidi ukiondoa uchawi.
 
Hao marekani unavyowaongelea, mtoto mdogo anaweza kuhisi unaongelea malaika au viumbe wenye uwezo usio wa kawaida kupita binadamu wote.
Hakuna popote nimetaja malaika wala viumbe wenye uwezo usio wa kawaida , mada yangu ni kwamba ukiona umeingia katika vitabu vyao basi fahamu kuna namna kweli mtu huyo ana uhusika katika jambo fulani.

Naona ni kama umekuja kutetea watekaji , US amempa ban mtekaji ambaye nyie mpo nae kila siku ni vilio mitandaoni kwa matukio yake na hamchukui hatua unataka tuamini vipi huyo mtu sio safi?

Nipe rekodi yoyote hapa au ripoti ya polisi kuhusu tukio la utekaji.

Mzee Kibao katekwa 2024 walisema uchunguzi unaendelea unaweza kunipa ripoti ya tukio hilo?

Sativa katekwa 2024 hadi leo wanasema wanachunguza je wanachunguza nini?

Polepole na Mdude wametekwa 2025 umewahi kusikia popote polisi wakieleza wamefikia wapi kuhusu uchunguzi wao?

Mada kuu hapa ni watu wanaotuhumiwa halafu mpo nao hamchukui hatua wengine wakichukua hatua kulinda raia wao kwa kumzuia jambazi kuingia kwao mnaona kaonewa?
Na hayo ni madhara ya western movies.
Una uthibitisho gani mimi ninaangalia westee movies?

Na una uthibitisho gani kwa maelezo niliyotoa yanahusiana nini na hizi movie za western.?

Nikikwambia nina miaka 10 na zaidi sijaangalia movie yoyote unaweza kuamini?
 
Sasa kinachofanya uone kila maamuzi wanayofanya USA ni sahihi ni kipi?

Mafwele ana maujinga yake mengi tu ila mimi si mtu ninayeamini ukatili wake utaisha kwa kupigwa ban, mimi natamani atokee mtu anayeweza kumpitisha mafwele kwenye njia walizopitishwa waliotekwa.
 
Adhabu ndogo sana hii, Makonda yupo tu anazidi kujazia.
Watu mnajadili mbona Makonda anadunda wakati alipigwa ban, makonda alikuwa kwenye serikali ya Magufuli na Magufuli ndiye aliyekuwa anampa kiburi ile ban ilikuwa ni
Umeeleza vizuri lakini hizo ni mentality za kikoloni ambazo hao Mabeberu wanazo.

Ujue Mabeberu wanadhani wao ndio wanaendesha Uchumi wetu tena Kwa misaada kitu ambacho hakipo.

Nasisitiza alishakuwa banned Bashite hatujashuka kiuchumi wala kidemokrasia ,so ni muendelezo ule ule.

Mwisho Kwa Dunia ya Sasa ya ushindani Beberu anahitaji Afrika kuliko sisi Afrika tunavyowahitaji wao.cc Quinine
Makonda alipigwa ban na US, ambaye alikuwa anamlinda ni Magufuli ile ban ya makonda ilikuwa warning kwa magufuli na utawala wake je Leo Magufuli yupo? Nani anajua kama walipita nae?

Na je samia alivyo kalia hakwenda US kusafisha na kuweka mambo sawa? Katika hali ya kaiwada tunaweza kuona ni jambo la kawaida lakini US wanatuma ujumbe mzito kwa serekali iliyo madarakani.
 
Sasa kinachofanya uone kila maamuzi wanayofanya USA ni sahihi ni kipi?
Wapi nimeandika "kila maamuzi anayofanya US ni sahihi" quote hiyo sentensi.
Mafwele ana maujinga yake mengi tu ila mimi si mtu ninayeamini ukatili wake utaisha kwa kupigwa ban
US wamempiga ban jambazi la Tanzania lisiingie kwao iwe kwa gia ya utalii au namna nyingine halafu likahatarisha maisha ya raia wa US , kwa Tanzania wamewaachia mzani na nyie muone mnamfanyaje jambazi ambaye mpo nae kila siku wao wamefanya kwa nafasi yao kipi hapo kilikua kigumu kwako kuelewa?

Zile travel advisory ambazo US wanatoa kwenye ubalozi wa nchi fulani kwamba hii wanaiweka level fulani kiusalama na kuwapa alert unafikiri huwa wanalenga nani kama sio raia wao, fikiri nje ya box jambazi limezuiwa kwa manufaa na usalama wa raia wa US sasa Tanzania nayo ijipime sasa waje na uchunguzi huru ili watu wawe na imani kuwa huyu mtu sio mchafu kama anavyotajwa kwani kigumu ni kipi hapo?
, mimi natamani atokee mtu anayeweza kumpitisha mafwele kwenye njia walizopitishwa waliotekwa.
Naam na hii ndio itakua tiba ya matatizo ya utekaji.
 
Basi jua tu, US kumzuia huyo Afisa sio kwa lengo la kuisaidia Tanzania, lakini serikali ya Tanzania inaweza ona umuhimu wa investigation dhidi ya mhusika ili kulinda diplomatic relationship!
Nionavyo Mimi serikali ya TZ ni kama haijali chochote, fikiria kuhusu mambo ya utekaji, sioni wakichukua hatia, utaambiwa tunafuatilia halafu kimya, mfano suala la Kibao, just kimya
 
wavalishwa pampers mlikuwa upande wa Laanatullahi nyerere na mko naye wakati ameuwa zaidi ya watu elfu 10 alipovamia Zanzibar na kuichukuwa mpka leo tuna suffer . Mwaka 2020 magufuli aliuwa watu Zanzibar ili kumweka Mwinyi madarakani , wavalishwa pampers mlikuwa kimya na hamna Tume iliundwa kuchunguza mauwaji
Wakati wa kikwete 2010 huko Zanzibar hamkuuliwa, wakati wa kikwete 2015 huko Zanzibar hamkuuliwa? Nauliza tu mimi ni mgeni hii nchi
 
Back
Top Bottom