Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiwe
Hapa amelengwa personal kwa sababu ya unyama anaowafanyia watu.

Hao wakubwa zake nao waanze kuzilowanisha nywele zao maji kwa ajili ya kunyolewa.
 
Mafwele akigusa Mtu tena Case yake ikaenda Mahakama za Juu za nnje ya TANZANIA wanakuja mchukua kama maduro...labda saivi asiguse watu wenye nguvu ila akiji changanya tu Kapotea na kwasasa hawezi fanya tena kitu hii imemchafua kiufup ataomba DESK JOBs not otherwise...
Huyo mtu hajitambui.

Ni juzi tu kateka msaidizi wa Lisu, wadhani bila kumuwajibisha ataendelea na udhalimu wake.
 
Kwani lazima awe waziri wa mambo ya nje, na je unafahamu kwa sasa ni waziri wa maigizo na michezo?
Waziri wa mambo ya nje ndiye sura na sauti ya nchi kimataifa.
Lakini kuwekewa hio ban kimemlamba pakubwa tu..
Na US wakiku kataa hata mfumo wao wa SWIFT na wenyewe haukutambui..
 
Shida ya nyie Chadomo mna akili ndogo sana.Nimeuliza kwamba Mafwele sio wa kwanza kuzuiwa alishazuiwa Bashite Kwa madai hayo hayo.

Swali nyie inawanufaishaje Kisiasa? Je huyo Jamaa ana kipi Cha kujutia kitakachowasaidia nyie Kisiasa? Mbaya zaidi wamewataja Wakenya kwamba ndio wa maana.

Tungesikia kwamba amekamatwa ingekuwa jambo la maan Sasa kuzuiwa ndio nini? Kuna ulazima wa kwenda huko USA?

Harafu nyie wapumbavu Huwa mnasingizia Wazanzibari,huyo Mafwele ni Mzanzibari wa wapi?
Mlamba mav wa Kahaba Chura kama kawaida upo siti ya mbele kupigania nguvu ya buku 7
 
Waziri wa mambo ya nje ndiye sura na sauti ya nchi kimataifa.
Lakini kuwekewa hio ban kimemlamba pakubwa tu..
Na US wakiku kataa hata mfumo wao wa SWIFT na wenyewe haukutambui..
Unawaza kwa uvivu sana, kwa tz hii unaweza ukala ban na bado mambo yako yakakuendea. Ni kama mtu bado ana mawazo ya miaka ya 90 ndio ataona ban ya marekani ina matter.
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwaka mmoja uliopita baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania waliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.

Tangazo hilo la umma limetolewa chini ya Kifungu cha 7031(c) cha Sheria ya Bajeti ya Usalama wa Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Programu Zinazohusiana ya mwaka 2026 (Div. F, P.L. 119-75).

Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Tommy Pigott.

Pia soma:
1. THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

2. Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

3. Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu

4. Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

5. Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

6. Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki

7. MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi
Hiyo sio adhabu hata kidogo!
Marekani watafute adhabu inayowafaa watu aina ya mafwele. Yani mtu mwenye tuhuma za mauaji na utesaji adhabu yake iwe ni kuzuiliwa kuingia marekani tu??

Makonda nae alizuiliwa kuingia marekani kwa tuhuma kama hizo za mafwele je Nini kimebadilika kwa makonda? Kuna athari zozote jamaa amezipata? Tunadhani watekaji wataogopa kwendelea kuteka kisa kuzuiliwa kuingia marekani??

Labda kungekuwa na namna ya kuwakamata na kuwashitaki mahakama za kimataifa hapo kidogo ningesema eeeeehhh!
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatupeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha

If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
  1. Diplomatic strain
    The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.
  2. Damage to international reputation
    If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.
  3. Reduced diplomatic engagement
    The official may be unable to attend:
    • bilateral meetings in the U.S.,
    • UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
    • World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
    • trade or security negotiations.
  4. Internal political pressure
    Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.
  5. Possible sanctions expansion
    In serious cases, bans on individuals can precede:
    • financial sanctions,
    • aid restrictions,
    • military cooperation limits,
    • or broader measures against government entities.
  6. Economic implications
    If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
    • foreign investment,
    • banking relationships,
    • development funding,
    • procurement deals,
    • and international partnerships.
  7. Reciprocal retaliation
    The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.

Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
ngoja tudadavue kimatumbi

Ikiwa afisa wa serikali amepigwa marufuku kuingia Marekani, athari zake kwa nchi yao zinaweza kuanzia aibu ndogo hadi athari kubwa za kidiplomasia au kiuchumi, kulingana na cheo cha afisa huyo na sababu ya marufuku hiyo.

Athari za kawaida ni pamoja na:

Mkazo wa kidiplomasia
Marufuku hiyo inaweza kuashiria kuzorota kwa uhusiano kati ya Marekani na nchi hiyo. Inaweza kupunguza uaminifu na ushirikiano.

Uharibifu wa sifa ya kimataifa

Ikiwa marufuku hiyo inahusisha ufisadi, ukiukwaji wa haki za binadamu, ukiukwaji wa vikwazo, au wasiwasi wa usalama, inaweza kuathiri taswira ya kimataifa ya nchi na imani ya wawekezaji.

Kupungua kwa ushiriki wa kidiplomasia

Afisa huyo anaweza asiweze kuhudhuria:
mikutano ya pande mbili nchini Marekani,
shughuli zinazohusiana na Umoja wa Mataifa huko New York (ingawa sheria maalum wakati mwingine hutumika),
mikutano ya Benki ya Dunia/IMF huko Washington, D.C.,
mazungumzo ya biashara au usalama.

Shinikizo la ndani la kisiasa
Vyama vya upinzani au umma vinaweza kuhoji uaminifu wa serikali, maadili, au msimamo wa kimataifa.

Uwezekano wa upanuzi wa vikwazo
Katika visa vikali, marufuku kwa watu binafsi yanaweza kutangulia:
vikwazo vya kifedha,
vikwazo vya misaada,
mipaka ya ushirikiano wa kijeshi,
au hatua pana dhidi ya vyombo vya serikali.

Athari za kiuchumi
Ikiwa afisa huyo anasimamia fedha, biashara, ulinzi, au mambo ya nje, marufuku hiyo inaweza kuzidisha:
uwekezaji wa kigeni,
uhusiano wa benki,
ufadhili wa maendeleo,
mikataba ya ununuzi,
na ushirikiano wa kimataifa.

Kisasi cha pande zote
Nchi ya nyumbani inaweza kujibu kidiplomasia kwa kuwawekea vikwazo maafisa wa Marekani au kupunguza ushirikiano.

Hata hivyo, marufuku mengi ya usafiri wa mtu binafsi yana athari ndogo ya moja kwa moja kwa raia wa kawaida isipokuwa yanaongezeka hadi kuwa vikwazo vipana au migogoro ya kidiplomasia.
 
Huyo huyo shetani anaezidi kutuua watanganyika.
Hata hii issue ya Djumbe yeye ndo boss wa wale wapuuzi.
Huyo mjinga yafaa auawe na mwili wake tuna oka ndafu kwajili ya mbwa wetu wa Tanganyika.
Yeah,
Inasikitisha sana kuwa Watanganyika walio kwenye nafasi za kukataa na kuzuia huo ujinga wameamua kuweka mbele njaa, na wamegeuka machawa wa Wazenji wauaji, wezi wa rasilimali za Tanganyika
 
Mlamba mav wa Kahaba Chura kama kawaida upo siti ya mbele kupigania nguvu ya buku 7
FB_IMG_1779471627762.jpg
 
Kutokwenda marekani kuna hasara gani?,cdm mna shida sana.
Kwa mtu mwenye akili ndogo hawezi kuelewa athari ya hichi kitendo cha kumpiga marufuku huyo Mafwele kukanyaga Marekani.

Lakini serikali ya Tanzania inafahamu athari yake kwa mahusiano ya kimataifa kwa watu wengi ambao hawajui mambo ya International Relations hawawezi kufahamu chochote.
 
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatupeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha

If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
  1. Diplomatic strain
    The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.
  2. Damage to international reputation
    If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.
  3. Reduced diplomatic engagement
    The official may be unable to attend:
    • bilateral meetings in the U.S.,
    • UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
    • World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
    • trade or security negotiations.
  4. Internal political pressure
    Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.
  5. Possible sanctions expansion
    In serious cases, bans on individuals can precede:
    • financial sanctions,
    • aid restrictions,
    • military cooperation limits,
    • or broader measures against government entities.
  6. Economic implications
    If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
    • foreign investment,
    • banking relationships,
    • development funding,
    • procurement deals,
    • and international partnerships.
  7. Reciprocal retaliation
    The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.

However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.

Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii



Watu wengi hawajui madhara yake wanafikiria kupanda tu ndege na kwenda marekani.
 
Back
Top Bottom